Anadanga akiwa na mimba

Anadanga akiwa na mimba

Mleta mada amedai muhusika huwa analichomekea tumbo ili lisionekane sana
Oooh hapo sijui aseew ila picha ninetuma kuakisi hoja ya mleta mada hayo mambo ya kuchomekea sijui asee
 
Ukiwa mwaminifu unadhalilishwa ukiwa hujatulia unadhalilishwa Bora uwe hujatulia
 
Mungu anisamehe nilimgonga demu ana mimba wiki moja kabla ya kuolewa na jamaa ake..
Sema alinilazimisha kwa kusema tupeane cha mwisho
 
Mungu anisamehe nilimgonga demu ana mimba wiki moja kabla ya kuolewa na jamaa ake..
Sema alinilazimisha kwa kusema tupeane cha mwisho

Kwa hiyo kwa lugha ya kisheria mkuu alikubaka.. maana kulazimishwa tendo ni kubakwa bila kujali victim ni Male au Female
 
CCM inapenda mada kama hz kujadiliwa na vijana w taifa hili.
 
Back
Top Bottom