Anadhalilisha “wasomi” wenzie; ndiyo maana ile ya PhD ya Urusi iligoma kukaa kichwani

Haya ndiyo madhara ya Elimu mbalimbali; Mtu level za akina Bashite na Baba Levo lakini kutwa kuchwa kujikuta kukimbilia tu PhD pasipo kujua uzito wa hadhi hiyo kitaaluma. 🚮🚮🚮

View attachment 3637026
Title yako mgogoro sana. Eti anadhalilisha “wasomi” wenzie… Tangu lini fazafaka amekuwa msomi?
 
INatakiwa katiba mpya kipengele cha elimu hasa kwa rais na vingozi wemgine mpaka wabunge mwisho iwe degree tena sio ya hapa na pale degree kutoka vyou mashuhuri sio vya uchocholoni
 
elimu yetu ifumuliwe iundwe upya tuna wasomi waduanzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…