Anae kielewa kipindi kipya cha salama "ngazi kwa ngazi"

Pamoja na yote hayo kipindi kibaya kama una tazama sijui nini
 
Labda wadhamini wanajitokeza kwa wingi ila hawajafikia dau wanalolitaka
 
moja vipindi vikali sana vya burudani kwa sasa hapa africa mashariki bs ni "ngazi kwa ngazi" kuanzia location yake mpka contents within the kipindi...! kama hukielew bs kaa kimya na sio kulazmisha kupata wanachama wengne wasiokielewa kwa matakwa yako, 9,10 kama sio mtu makini,mpenda burudani na mpenda ubunifu bs huwez kukipenda.
 
Kumbe tuko wengi ambao hatukielewi nilifikiri ni Mimi peke yangu yaan hiyo miziki yake sijui anaipata wapi
zile track anazocheza mi ndo sijazielewa kabisa yaani. nikaona mpaka wimbo wa kihindi ndani
 
Ni ubunifu mzuri sana, in kitu kipya kinacholeta pamoja muziki wa sehemu tofauti za dunia...kama ni Kuona mahojiano ya aina mnayotaka kuna FNL na hata Sauda Mwilima wa Star tv
 
Ni ubunifu mzuri sana, in kitu kipya kinacholeta pamoja muziki wa sehemu tofauti za dunia...kama ni Kuona mahojiano ya aina mnayotaka kuna FNL na hata Sauda Mwilima wa Star tv
hapo wenye akili kubwa tu ndo watakaoelewa
 
Kama huelewi kipindi,muelewe hata Salama.
 
Hata shuleni mwalimu mmoja anafundisha somo moja kwa wanafunzi lakini wapo watakaopasua na wengine watatoka kapa.
That's how it works, you just decide and make some efforts to understand.
 
Mi napenda namna anavyotoa stori. Kuhusu miziki iko kimagharibi zaidi.
 
Hata shuleni mwalimu mmoja anafundisha somo moja kwa wanafunzi lakini wapo watakaopasua na wengine watatoka kapa.
That's how it works, you just decide and make some efforts to understand.
shamba shape up...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…