Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Wadau najaribu kufatilia kipindi kipya cha salama jabir "ngazi kwa ngazi" dizain naona km sikielewi elewi hivi hakina mvuto ule wa ubora wa salama au ndo uzee.....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inawezekana we unamuelewa Salama ndo umeunganisha na kipindiMimi nakipenda kwakweli, Salama ni creative sana kipindi japokuwa wengi hawakielewi. Mtakielewa tu kidogokidogo.
Kuwa mpole mkuu utakielewa tu polepoleMkuu inawezekana we unamuelewa Salama ndo umeunganisha na kipindi
Aisee kwa ambavyo nakiona kile kipindi dooh ...sijakisoma kwakweli
Kuwa mpole mkuu utakielewa tu polepoleMkuu inawezekana we unamuelewa Salama ndo umeunganisha na kipindi
Aisee kwa ambavyo nakiona kile kipindi dooh ...sijakisoma kwakweli
Wadau najaribu kufatilia kipindi kipya cha salama jabir "ngazi kwa ngazi" dizain naona km sikielewi elewi hivi hakina mvuto ule wa ubora wa salama au ndo uzee.....!!
Wadau najaribu kufatilia kipindi kipya cha salama jabir "ngazi kwa ngazi" dizain naona km sikielewi elewi hivi hakina mvuto ule wa ubora wa salama au ndo uzee.....!!
Hajaiga vip mkuu?? Ile sauti inayotumika mbona kaiga B. E. T awards. Fuatilia utajua, binafsi kipindi sijakielewa nadhani hakieleweki that's why hakina mdhamini hata mmoja mpaka sasa. Mkasi b4 haijaanza kilishapata udhamini, but hiki dooh maybe soon or later nitakielewaSalama Jabir ni mbunifu wa hali ya juu sana katika kutangaza sanaa na muziki, ngazi kwa ngazi ni kipindi cha kipekee sana, kwa watu tunaojua nini maana ya Ubunifu tunaelewa kule ambapo Salama anaelekea. Kwa sababu.
1/Hajaiga popote.
(Hakuna Tv station ambayo amewahi kuwa na aina ya kipindi kama kile)
2/Uchaguzi wa nyimbo zake unazingatia ladha mbali mbali za muziki za kila mahali duniani.
3/Ndani ya Kipindi kimoja kuna "Ideas" zaidi ya Kumi zimejificha(Kwa mfano Studio setting, Presentation Style, Music Content, Interview, Song Ranking, Jokes, Modeling, Biographies, Narrations, News, Culture, Lugha ya Kiswahili)..
Kwa kifupi kabisa, kipindi kile kimelenga Kitaifa, kimataifa na Matokeo ya Muda mrefu sana.