rwechungura16
Member
- Nov 3, 2016
- 49
- 51
Kipindi kinaeleweka sema hakina mzuka, imekua ngumu kidogo kuteka hisia za watu especially wale walio kua wanafuatilia kipindi cha mkasi (mimi nikisa mmoja wapo) lakini hiki nilikiangalia mara kadhaa mpaka nikaacha kabisa kufuatilia kufikia hadi kusahau hua kinarushwa siku gani, waturudishie tu Mkasi wetu