Anaedhani Tundu Lissu ataachiwa kwa mititi ya ndani na nje ya nchi hamtakii mema Lissu, Achunguzwe

..Serikali na Ccm wajitathmini.

..wasiruhusu Tanzania itimuliwe toka ktk jumuiya za kimataifa ikiwemo Commonwealth.

..tusijidanganye kwamba hakuna athari kwa serikali ya Tanzania kuzomewa ktk majukwaa ya kimataifa kutokana na kukiuka HAKI za raia wetu.
 
tulichokosea sisi ambacho wazungu wanatucheka ni watu kukadai haki zao kwa kuchoma miundombinu ambayo tumeijenga kwa kutumia misaada na mikopo kutoka kwao. Yaani wanatulinganisha na manyani ambayo hayana akili za kutosha kufikiria. Huko kwao hakuna raia anaeweza kufanya hivyo, na akitokea raia aliyefanya hivyo watamchunguza sana na watamuita gaid (terrorist). Mali ya umma sio mali ya mtu au kikundi, ni mali ya hata ambao hawajazaliwa. Ndiyo maana unaona watu wetu wengi walikufa kwenye tukio lile lakini tanzania haijatengwa na haitatengwa; wanahimiza tu Lissu aachiwe lakini sio kwanini watu waliuliwa. Kwa maana nyingine waliuliwa kihalali kabisa, maana hata wao kama ingetokea vila kwao wangefanya kama sisi tu.
 
..Je, WATOTO waliouliwa Oct 29 ilikuwa halali?

..Unajua Mama angetekeleza 4R asingefika mahali akalazimika kutumia nguvu kiasi kile.

..Kuna washauri wabaya ambao aliwasikiliza na kuisababishia nchi majanga.

..Maandamano yenye ghasia mahali popote chanzo chake ni kero na malalamiko ambayo yamepuuzwa kwa muda mrefu.

..Vyama vyote rafiki wa Ccm vya kusini mwa Afrika viliwahi kuhusika na kuchoma na kuharibu miundombinu ya nchi zao.

..Niambie ni chama gani kati ya ANC, PAC, Swapo, MPLA, Frelimo, ambacho hakikuhusika kuharibu miundombinu.

..Kwanini Ccm haijifunzi toka historia ya vyama vya ukombozi ambavyo inajinasibisha navyo?
 
Nikiri kwamba mara hii natumia MOYO badala ya UBONGO kuandika uzi huu.

Mashinikizo ya ndani na nje ya nchi hayawezi kuifanya Tanzania ipindisje au iachane na Katiba yake, sheria, mila, taratibu na utamaduni wake wa kuliendesha taifa letu. Hakuna mtiti wa nje wala wa ndani unaoweza kumuondolea Lissu makosa yake kwa mujibu wa sheria zetu. Ila sisi wenyewe tunaweza kumuondolea na kumsamehe makosa yoyote mwananchi wetu kwakutumia Katiba na sheria zetu.

Tufanye kila kitu Lissu awe huru mitaani kwa kutumia njia zetu wenyewe za kitanzania ili Taifa lijikite kwenye mambo mengine muhimu pia.

Hakuna ubishi kuwa Tanzania ilichomwa moto hata leo hii magofu bado yapo, na hakuna sheria Tanzania inampa mtu excuse ya kuchoma mali ya umma na mali za wenzake wasiokuwa na hatia.

Hakuna ubishi Tanzania hatuna sheria inayoruhusu mtu mmoja au kikundi kuzuia uchaguzi Mkuu unaotupa viongozi wakuu wa nchi usifanyike. Kufanya hivyo ni sawa na kuvunja Katiba na uhaini baridi. Uhaini baridi kwakuwa muda wa viongozi kukaa madaraki kwa mujibu wa Katiba ni miaka 5. Hivyo kuzuia uchaguzi usifanyike ni kumaanisha ama nchi iongozwe na watu waliomaliza muda wako Kikatiba au nchi ibaki bila kuwa na viongozi.

Hata hivyo, kama utatafakari vizuri ukiwa umetulia utabaini kuwa Lissu ameshinikizwa tu na baadhi ya wanaCCM, wafanyabiashara na makundi ya kidini kutamka na kutenda alichokitenda kwa kushawishiwa na kuaminishwa kuwa anaweza kuwa Rais kwa msaada wao. Walimshinikiza na kumsaidia Lissu ampore Mbowe chadema kwa nguvu ili chadema waitumie kama farasi wa vita/mwamvuli/jukwaa tu kwenye mpango wao.

Watu waliomsukumiza Mh. Lissu kwenye sekeseke hili wenyewe wako huru mitaani wanadunda; na ndiyo wanaohanikiza kelele za Tundu Lissu aachiwe huru; they feel guilty kumuona Lissu waliyemsababishia shida yuko gerezani. Waliosukumiza Lissu ndiyo hao wanaohangaika na vyombo vya habari vya nje, EU, Jumuiya ya madola na hata ICC kuomba msaada Lissu atoke na nchi inyimwe misaada ili wananchi wa kawaida wakose huduma kama chanjo na dawa za misaada. Hawajali nini kitatokea kama nchi itanyimwa misaada.

Baada ya Lissu kukaa ndani ya gereza, Mh. Heche, Makamu Mwenyekiti nae akashangalia usemi wa wahenga wa "kufa kufaana". Heche sasa amekuwa maarufu ndani na nje ya nchi kwa kisingizio cha kutaka kumtoa Lissu kwa kutumia mititi ya ndani na nje ya nchi. Hii mititi ndiyo biashara yake kuu kwakuwa ili mititi hii iwepo ndani na nje yanchi inahitaji fedha nyingi za kuendesha mikutano, usafiri, malazi, chakula na matumizi yake na familia. Anaomba hela kwa kila mtu ili kufanikisha kumtoa Lissu kwa mititi. Hata hivyo mititi hii haileti matokeo ya haraka ya kumtoa Lissu; na off course, haiwezi kufua dafu. Fedha hizo hazina mahesabu ya uhakika maana zinaenda mfukoni kwa wajanja moja kwa moja.

Waliomsukumiza Lissu kwenye janga; yaani wale wanaCCM (kijani) na wanadini sasa hivi wamemgeuka Heche, wanataka atoke ili njia ya maridhiano itumike kumtoa Lissu nje; njia yake yakutumia mititi anathibitiwa na Katambi, na EU, Jumuiya ya madola, ICC na wengine huko nje wanaonekana hawana cha maana wanafanya ili Lissu atoke. Sasa hivi wanataka kumtoa Heche kafara kupitia wanachadema wenyewe ili njia za kawaida za ndani ya nchi za maridhiano zitumike kumtoa Lissu nje awe huru. Sasa hivi tuhuma za Heche kala pesa zimepambamoto kila kona ya chadema, bahati mbaya tu wanakosea kuisingizia serikali ya CCM ya samia kuwa ndiyo inayowapa pesa waseme kuhusu Heche.

Naomba taifa kwa kutumia Mama Samia, Rais wa Tanzania na DPP wakae kitako watete wamtoe LIssu nje kwa njia zetu, utashi wetu watanzania chini ya katiba yetu, sheria zetu na uhuru wetu kuionyesha dunia kuwa tanzania haifundishwi namna ya kulinda nchi yetu, kuwahudumia watu wetu na kudumisha amani na utulivu sio tu kwa watu wetu bali hata kwa wanyama wetu wa kufungwa na wa porini.

Lissu kuwa ndani hatupati faida yoyote, lakini kama akikosea tena tutamkamata tena kama raia mwingine kwa kosa lake hilo jipya.

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma: Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Waliouliwa walifanya nini kwani? Usipokanywa na mama yako watakukanya chadema. Mzazi mwenye akili timamu angemkanya mwanae asichome vituo vya polisi na mali ya umma. Avute bangi zake kisha akakojoe alale.
 
Ni jukumu la wauaji kumlinda tena kweli kweli!
 
Inasikitisha mno kuaona bado ni ndefu sana sana sana 😢 😢 😢 😢 😢
 
Akil zako zmejaa mav
Lissu hataachiwa kwakuwa Heche kasema au EU kasema, ataachiwa tu kama hatakutwa hana hatia au atasamehewa na mamlaka.

Kesi yake inaichelewesha yeye mwenyewe kwa kuweka mapingamizi kila siku. Anatafuta technicalities za kukwepa kosa alilofanya.
 
Waliouliwa walifanya nini kwani? Usipokanywa na mama yako watakukanya chadema. Mzazi mwenye akili timamu angemkanya mwanae asichome vituo vya polisi na mali ya umma. Avute bangi zake kisha akakojoe alale.

..nazungumzia watoto, sio vijana.

..tume imeeleza kwamba wako watoto waliuwawa Oct 29.
 
Mafahari 2 wakigombana nyasi zitaumia. kama kulikuwa na watoto waliokufa hizo ndio nyasi zenyewe. Huwezi kuivalisha risasi condomu au glove isiende kuumiza na wasiokusudiwa. Vita haina macho; ni mbaya sana. Mtoto Aquilina alikufa kwenye maandamano ya chadema wakati ule, lakini ilikuwa bahati mbaya tu, maana yeye alikuwa haandamani.
 
Ingekuwa ni mapambano ya silaha za moto kati ya jeshi la polisi na waharifu hapo kweli vifo vya wasiohusika tungesema ni bahati mbaya.
 
Kuna askari walikufa pia, nani aliwaua?

Wanaoishutumu serikali kwa kuzima vurugu zile kwa aina ile wamegawanyika katika makundi yafuatayo:
1. Watu waliokasirika kwanini serikali haikuangushwa ili wao wakamate dola. kama ingeanguka maneno yangekuwa machache sana na vigelegele vingi, hata waliokufa wangesema wamekufa kishujaa.
2. Watu waliotoa pesa zao kugharamia mapinduzi yaliyoshindwa.
3. Watu waliokuwa wakitarajia kupewa vyeo baada ya serikali kuangushwa. Vyeo vimeota mbawa.
4. Wafanyabiashara ambao walitarajia kurudishiwa biashara zao haramu walizopoteza.
5. Baadhi ya Wagombea wa CCM waliokosa uteuzi wa kugombea
6. Watu ambao waumini wao walishiriki vurugu kwa maagizo yao na wakapelekewa moto.
7. Wafuasi oyaoya wa upinzani, wengi wao wavuta ndumu wanaodhani kuwa chadema ikifika ikulu itawajaza noti mifukoni mwao.

Wakati wa uchaguzi polisi wengi huwa wanalinda uchaguzi, na askari jeshi wengi huwa wanalinda mipaka. Hivyo, hakukuwa na polisi wa ziada ya kuongoza maandamano ya chadema nchi nzima hata kama yangekuwa ya amani. Hii ikasababisha hao askari wachache waliopatikana kukabiliana na vurugu za nchi nzima watumie nguvu kubwa sana kuihami nchi na miundombinu dhidi ya wafanyavurugu nchi nzima, twanga tu. Hata wewe kama utavamiwa na vibaka wengi utatumia nguvu kubwa kuliko kama ungevamiwa na kibaka mmoja tu.
 
Kuna askari walikufa pia, nani aliwaua?

Wanaoishutumu serikali kwa kuzima vurugu zile kwa aina ile wamegawanyika katika makundi yafuatayo:
1. Watu waliokasirika kwanini serikali haikuangushwa ili wao wakamate dola. kama ingeanguka maneno yangekuwa machache sana na vigelegele vingi, hata waliokufa wangesema wamekufa kishujaa.
2. Watu waliotoa pesa zao kugharamia mapinduzi yaliyoshindwa.
3. Watu waliokuwa wakitarajia kupewa vyeo baada ya serikali kuangushwa. Vyeo vimeota mbawa.
4. Wafanyabiashara ambao walitarajia kurudishiwa biashara zao haramu walizopoteza.
5. Baadhi ya Wagombea wa CCM waliokosa uteuzi wa kugombea
6. Watu ambao waumini wao walishiriki vurugu kwa maagizo yao.

Wakati wa uchaguzi polisi wengi huwa wanalinda uchaguzi, na askari jeshi wengi huwa wanalinda mipaka. Hivyo, hakukuwa na polisi wa ziada ya kuongoza maandamano ya chadema nchi nzima hata kama yangekuwa ya amani. Hii ikasababisha hao askari wachache waliopatikana kukabiliana na vurugu za nchi nzima watumie nguvu kubwa sana kuihami nchi na miundombinu dhidi ya wafanyavurugu nchi nzima, twanga tu. Hata wewe kama utavamiwa na vibaka wengi utatumia nguvu kubwa kuliko kama ungevamiwa na kibaka mmoja tu.

..nini chanzo cha vifo vya askari hao?

..waliuwawa na waandamanaji, au waliuwawa na askari wenzao?

..silaha za aina gani zilisababisha vifo vya askari hao? Ni risasi, mabomu, mawe, au silaha za jadi?

..Ndio maana unahitaji UCHUNGUZI WA KIMATAIFA utakaoweka kila kitu wazi.
 
Nikiri kwamba mara hii natumia MOYO badala ya UBONGO kuandika uzi huu.

Mashinikizo ya ndani na nje ya nchi hayawezi kuifanya Tanzania ipindisje au iachane na Katiba yake, sheria, mila, taratibu na utamaduni wake wa kuliendesha taifa letu. Hakuna mtiti wa nje wala wa ndani unaoweza kumuondolea Lissu makosa yake kwa mujibu wa sheria zetu. Ila sisi wenyewe tunaweza kumuondolea na kumsamehe makosa yoyote mwananchi wetu kwakutumia Katiba na sheria zetu.

Tufanye kila kitu Lissu awe huru mitaani kwa kutumia njia zetu wenyewe za kitanzania ili Taifa lijikite kwenye mambo mengine muhimu pia.

Hakuna ubishi kuwa Tanzania ilichomwa moto hata leo hii magofu bado yapo, na hakuna sheria Tanzania inampa mtu excuse ya kuchoma mali ya umma na mali za wenzake wasiokuwa na hatia.

Hakuna ubishi Tanzania hatuna sheria inayoruhusu mtu mmoja au kikundi kuzuia uchaguzi Mkuu unaotupa viongozi wakuu wa nchi usifanyike. Kufanya hivyo ni sawa na kuvunja Katiba na uhaini baridi. Uhaini baridi kwakuwa muda wa viongozi kukaa madaraki kwa mujibu wa Katiba ni miaka 5. Hivyo kuzuia uchaguzi usifanyike ni kumaanisha ama nchi iongozwe na watu waliomaliza muda wako Kikatiba au nchi ibaki bila kuwa na viongozi.

Hata hivyo, kama utatafakari vizuri ukiwa umetulia utabaini kuwa Lissu ameshinikizwa tu na baadhi ya wanaCCM, wafanyabiashara na makundi ya kidini kutamka na kutenda alichokitenda kwa kushawishiwa na kuaminishwa kuwa anaweza kuwa Rais kwa msaada wao. Walimshinikiza na kumsaidia Lissu ampore Mbowe chadema kwa nguvu ili chadema waitumie kama farasi wa vita/mwamvuli/jukwaa tu kwenye mpango wao.

Watu waliomsukumiza Mh. Lissu kwenye sekeseke hili wenyewe wako huru mitaani wanadunda; na ndiyo wanaohanikiza kelele za Tundu Lissu aachiwe huru; they feel guilty kumuona Lissu waliyemsababishia shida yuko gerezani. Waliosukumiza Lissu ndiyo hao wanaohangaika na vyombo vya habari vya nje, EU, Jumuiya ya madola na hata ICC kuomba msaada Lissu atoke na nchi inyimwe misaada ili wananchi wa kawaida wakose huduma kama chanjo na dawa za misaada. Hawajali nini kitatokea kama nchi itanyimwa misaada.

Baada ya Lissu kukaa ndani ya gereza, Mh. Heche, Makamu Mwenyekiti nae akashangalia usemi wa wahenga wa "kufa kufaana". Heche sasa amekuwa maarufu ndani na nje ya nchi kwa kisingizio cha kutaka kumtoa Lissu kwa kutumia mititi ya ndani na nje ya nchi. Hii mititi ndiyo biashara yake kuu kwakuwa ili mititi hii iwepo ndani na nje yanchi inahitaji fedha nyingi za kuendesha mikutano, usafiri, malazi, chakula na matumizi yake na familia. Anaomba hela kwa kila mtu ili kufanikisha kumtoa Lissu kwa mititi. Hata hivyo mititi hii haileti matokeo ya haraka ya kumtoa Lissu; na off course, haiwezi kufua dafu. Fedha hizo hazina mahesabu ya uhakika maana zinaenda mfukoni kwa wajanja moja kwa moja.

Waliomsukumiza Lissu kwenye janga; yaani wale wanaCCM (kijani) na wanadini sasa hivi wamemgeuka Heche, wanataka atoke ili njia ya maridhiano itumike kumtoa Lissu nje; njia yake yakutumia mititi anathibitiwa na Katambi, na EU, Jumuiya ya madola, ICC na wengine huko nje wanaonekana hawana cha maana wanafanya ili Lissu atoke. Sasa hivi wanataka kumtoa Heche kafara kupitia wanachadema wenyewe ili njia za kawaida za ndani ya nchi za maridhiano zitumike kumtoa Lissu nje awe huru. Sasa hivi tuhuma za Heche kala pesa zimepambamoto kila kona ya chadema, bahati mbaya tu wanakosea kuisingizia serikali ya CCM ya samia kuwa ndiyo inayowapa pesa waseme kuhusu Heche.

Naomba taifa kwa kutumia Mama Samia, Rais wa Tanzania na DPP wakae kitako watete wamtoe LIssu nje kwa njia zetu, utashi wetu watanzania chini ya katiba yetu, sheria zetu na uhuru wetu kuionyesha dunia kuwa tanzania haifundishwi namna ya kulinda nchi yetu, kuwahudumia watu wetu na kudumisha amani na utulivu sio tu kwa watu wetu bali hata kwa wanyama wetu wa kufungwa na wa porini.

Lissu kuwa ndani hatupati faida yoyote, lakini kama akikosea tena tutamkamata tena kama raia mwingine kwa kosa lake hilo jipya.

Mungu ibariki Tanzania

Pia soma: Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana
Mkishakuaga Ma CCM, sijui mnawaza kwa kutumia Mikundu .

Lissu alikamatwa lini? Uchaguzi Ulikua lini??.
 
..nini chanzo cha vifo vya askari hao?

..waliuwawa na waandamanaji, au waliuwawa na askari wenzao?

..silaha za aina gani zilisababisha vifo vya askari hao? Ni risasi, mabomu, mawe, au silaha za jadi?

..Ndio maana unahitaji UCHUNGUZI WA KIMATAIFA utakaoweka kila kitu wazi.
Huo uchunguzi wa kimataifa unasema mataifa yapi? Kama ni kutoka ulaya hapana, hawa ni watu wanaochochea migogoro duniani ili kuuza silaha zao na kupora rasilimali. Kama Wanashindwa kuwasuluhisha wazungu wenzao wasiuane huko Ukraine na Urusi wataweza kwetu? Hawa wazungu waliondoka kwetu shingo upande, sio wema. Hata wewe nakusihi, ugomvi wako na mkeo usiite watu wa nje wakusuluhisheni, wataondoka na mkeo.
 
Mkishakuaga Ma CCM, sijui mnawaza kwa kutumia Mikundu .

Lissu alikamatwa lini? Uchaguzi Ulikua lini??.
Wewe ndio aina halisi ya wafuasi wa chadema. Wavuta bangi kama Heche. Hata kama tumelewa hatuwezi kukabidhi nchi kwa watukanaji na wavuta ndumu.
 
Back
Top Bottom