Anaejua gharama na taratibu za kukodi ukumbi wa Nkurumah Hall kwa ajili ya social event

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,821
Reaction score
3,980
Kwa anaejua gharama za kukodi ukumbi wa Nkrumah Hall pamoja na taratibu zake.

With much thanks in advance
 
Fanya hivi ... Katika social event yako nenda Weka ubia na daruso .. then pooof. Ukumbi umepata bure.
Na participant wa kutosha wakiwemo walim wao.....

Hizi ni mbinu tunazitumia tulosoma course FUPI Cuba.
#sema wewe hukuandika notes ko unasahau sahau mkuu.
 
Nilisoma Udsm. Nilikuaga naona events mbalimbali zikifanyika pale kama vile kigoda cha mwalimu Nyerere. Semina, warsha mbalimbali, masuala ya Sanaa nakadhalika. Nime graduate 2011.

Am asking ntapaswa kuwaona watu wa Daruso au utawala?
Kigoda ni taasisi chini ya UDSM,event nyingi hapo zinakuwa na uhusiano na chuo,ukienda wewe binafsi unaweza kukwama
 
Nilisoma Udsm. Nilikuaga naona events mbalimbali zikifanyika pale kama vile kigoda cha mwalimu Nyerere. Semina, warsha mbalimbali, masuala ya Sanaa nakadhalika. Nime graduate 2011.

Am asking ntapaswa kuwaona watu wa Daruso au utawala?
Ni academic events zinazoandaliwa na chuo na washirika wao...

Social events kama ipi? Ukumbi pia hutumiwa kwa mazishi ya professors....

Sijawahi sikia ukikodishwa kwa event ya nje. Huwezi leta kitu kama harusi pale au mziki kwa ajili ni eneo shunguli za kitaaluma zinaendelea.
 
Inategemea na siku husika
 
Fanya hivi ... Katika social event yako nenda Weka ubia na daruso .. then pooof. Ukumbi umepata bure.
Na participant wa kutosha wakiwemo walim wao.....

Hizi ni mbinu tunazitumia tulosoma course FUPI Cuba.
#sema wewe hukuandika notes ko unasahau sahau mkuu.
Ntaenda Daruso mkuu. Event yenyewe ni free. Kutakuwa na presentations plus entertainment. Ijumaa ntaenda Daruso
 
Ni presentation ya kijamii ambayo nataka ifanyike vyuo mbalimbali duniani naanza na UDSM. Nikifanikiwa UDSM itanisaidia kwenye proposal yangu.
Hapo inaonekana unachohitaji si kujua gharama za ukumbi tu, bali pia unahitaji ushirikiano na uongozi wa chuo waikubali presentation yako na inawezekana wakiikubali kuwa ina faida kwa jamii hata kusiwe na gharama kwako.

Umewatafuta?
 
Acha upotoshaji mkuu,
Upotoahaji upi.
Ukumbi hautolewi ovyo ovyo kwa outsiders
Labda hiyo project yako ipate baraka za chuo au Daruso
Project isiwe na ukakasi kwa jamii ya wanachuo
Otherwise peleka mlimani city milioni 50 tu
 
Back
Top Bottom