Anaejua gharama na taratibu za kukodi ukumbi wa Nkurumah Hall kwa ajili ya social event

Anaejua gharama na taratibu za kukodi ukumbi wa Nkurumah Hall kwa ajili ya social event

Mpeni mtu njia ya kupata ukumbi sheria zipo kama anapresent vitu tofauti sheria zitambana mwenyewe sisi hatupo, baadhi ya watu wapo negative muda wote
 
Hapo inaonekana unachohitaji si kujua gharama za ukumbi tu, bali pia unahitaji ushirikiano na uongozi wa chuo waikubali presentation yako na inawezekana wakiikubali kuwa ina faida kwa jamii hata kusiwe na gharama kwako.

Umewatafuta?
Nitaenda kesho kuongea na watu wa Daruso
 
Ni presentation ya kijamii ambayo nataka ifanyike vyuo mbalimbali duniani naanza na UDSM. Nikifanikiwa UDSM itanisaidia kwenye proposal yangu.
Why Nkrumah? Unaweza kupewa kumbi nyingine. Kama shida ni wanafunzi Ubungo plaza ipo karibu na vyuo pia. Lakini kwa msaada zaidi unaweza kucheki website ya hicho chuo ukapata namba za wahusika au ukafika chuoni
 
K
Ntaenda Daruso mkuu. Event yenyewe ni free. Kutakuwa na presentations plus entertainment. Ijumaa ntaenda Daruso
Kumbuka kuna kamati ya uwekezaji vyuoni. Naamini kuna mgawanyo wa vyanzo vya mapato kati chuo na serikali za wanafunzi vyuoni. Nkrumah iko vhini ya nani? Anzia hapo.
 
Back
Top Bottom