ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,752
Poa mkuu nimekuelewa lakin wewe unafikiria nini kuhusu hii facult ni nzuri au mbaya?
hey wana jamvi kuna rafiki yangu amechaguliwa corse inayoitwa "bachelor of health administration" sasa alikuwa anaomba msaada wa kujua kuhusu ajira na maeneo ya kupata kazi. Kwaanae faham tunaomba atujuze kuhusu ilo....tafadhali.
mwache kwanza amalize masomo
Hawa wanaitwa makatibu afya kazi zao ni kama mabwana na bi afya wa hosptal, na kila hosptal kama za wilaya unakuta wanakiofisi chao pale hawana hata deal wale.
Hapana mkuu vitu viwili tofauti mabi/mabwana afya wanahusika na mambo ya afya kama usafi nk.hawa wanahusika na mambo ya uongozi tu wana ofisi nzuri tu.
Hawa wanaitwa makatibu afya kazi zao ni kama mabwana na bi afya wa hosptal, na kila hosptal kama za wilaya unakuta wanakiofisi chao pale hawana hata deal wale.