Anaejua hili..

Anaejua hili..

Poa mkuu nimekuelewa lakin wewe unafikiria nini kuhusu hii facult ni nzuri au mbaya?

Ni nzuri haina shida kwa maana bado wengi wana piga kazi kama HR officer kokote,ila kwenye hosp.hapewi heshima anayostahili kama anayopewa kwenye taasisi zingine.
 
hey wana jamvi kuna rafiki yangu amechaguliwa corse inayoitwa "bachelor of health administration" sasa alikuwa anaomba msaada wa kujua kuhusu ajira na maeneo ya kupata kazi. Kwaanae faham tunaomba atujuze kuhusu ilo....tafadhali.

mwache kwanza amalize masomo
 
mwache kwanza amalize masomo

Nimekuelewa mkuu, lkn mishe ilyopo ni kwamba kabla ujasoma corse fulan ni lazima ujue detail zake ili kuepuka usomaji wa corse ambayo haina ajira wala maslayi, kwaiyo cha mcng ww nipe detail ya hiyo corse, kama kusoma atasoma kwan mda bado wa chuo...ucwe na wasiwasi kuhusu kusoma....feedback.....
 
Hawa wanaitwa makatibu afya kazi zao ni kama mabwana na bi afya wa hosptal, na kila hosptal kama za wilaya unakuta wanakiofisi chao pale hawana hata deal wale.
 
Hawa wanaitwa makatibu afya kazi zao ni kama mabwana na bi afya wa hosptal, na kila hosptal kama za wilaya unakuta wanakiofisi chao pale hawana hata deal wale.

Hapana mkuu vitu viwili tofauti mabi/mabwana afya wanahusika na mambo ya afya kama usafi nk.hawa wanahusika na mambo ya uongozi tu wana ofisi nzuri tu.
 
Back
Top Bottom