....... anaejua gym yoyote ya wanawake watupu....... .
Hivi wenye aibu si ndo wale huwa wanasema niangushage tu dhambi zako mwenyewe, halafu unakata mtama unagegeda, au??Hahaha!
Jamani sitaki Mixer na wanaume.
Mie nina aibu.
Kuwa mkweli bana.Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.
Kuwa mkweli bana.
Mie nilikwambia 'Commando'atakuzingua ukanibishia na kuondoka kwa kunisimanga sasa yako wapi?
Na mie nshafunga milango dhidi yako nasubiri tuu muda ufike niweke mambo hadhalani lol!
Za huko gymContact zipi?
Kama zako ninazo labda za huko gym.