Anaejua ilipo Gym ya wanawake watupu mitaa ya Kinondoni A au B anisaidie.

Anaejua ilipo Gym ya wanawake watupu mitaa ya Kinondoni A au B anisaidie.

Madame B hata usijisumbue na gym..Jiunge na mazoezi pale Leaders club.Kuna wanaume na wanawake wanafany
mazoezi hasa mida ya jion
 
Last edited by a moderator:
Hata usijisumbue na gym..Jiunge na mazoezi pale Leaders club.Kuna wanaume na wanawake wanafany
mazoezi hasa mida ya jion

Pale uwanjani?
Nimefanya sana na akina Gea Habibu, Dina Marious, Mwasa Kim, na tulikuwa na group la watu kama 30 hv, lakini wapii!
Au ndo mwili umegoma shost!
 
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.

Kama gym yeyote iliyo mahali popote ninaweza kukusaidia...ila sio ya wanawake watupu na haipo Kinondoni. I know this Doctor amespecialize kwenye mambo ya mazoezi ya viuongo na fiziolojia hasa kwenye workout za kupunguza uzito haraka. He just got back from his PhD kwenye area hiyo na ana clinic yake pale gym ya Azura Mikocheni. He is good, kama uko serious niPM nikuunganishe naye. Wengi sana wameshasaidiwa naye na wamebadilika shortly.
 
Asante Doc.
Naja Pm.
 
Back
Top Bottom