Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
preta safari vp dear?
Mweeeeee........hivi Pasaka ndio mwisho wa mwezi eeeh.....uwiiiii na hizi shughuli za jimbo zilivyonibana........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
preta safari vp dear?
Hata usijisumbue na gym..Jiunge na mazoezi pale Leaders club.Kuna wanaume na wanawake wanafany
mazoezi hasa mida ya jion
Habari wadau.
Naomba kuuliza, kama kuna member anaejua gym yoyote ya wanawake watupu iliyoko mitaa ya Kinondoni A au B anifahamishe.
Nataka nianze gym maana dawa zote nimemaliza, lakini mwili umesimama palepale.
Asanteni.
Kama gym yeyote iliyo mahali popote ninaweza kukusaidia...ila sio ya wanawake watupu na haipo Kinondoni. I know this Doctor amespecialize kwenye mambo ya mazoezi ya viuongo na fiziolojia hasa kwenye workout za kupunguza uzito haraka. He just got back from his PhD kwenye area hiyo na ana clinic yake pale gym ya Azura Mikocheni. He is good, kama uko serious niPM nikuunganishe naye. Wengi sana wameshasaidiwa naye na wamebadilika shortly.
Madame B hujui dawa? Mtambuzi kasema kanjunji sokoni mchana kweupeee mwili utaisha tu ndani ya wiki moja.
Usiende na Ben Saanane, nenda na yuko mgambo koko wako wa china