Hapo kivipi mkuu?
Uchapishwaji wa pesa unaendana na uchumi wa nchi.kwa mfano unapoingiza hela nyingi kwenye mzunguko kuliko thamani ya uchumi wako kunatokea deflation.Hivyo BOT wanahakikisha fedha inayozunguka inaakisi uchumi uliopo.
Uchapishwaji wa pesa unaendana na uchumi wa nchi.kwa mfano unapoingiza hela nyingi kwenye mzunguko kuliko thamani ya uchumi wako kunatokea deflation.Hivyo BOT wanahakikisha fedha inayozunguka inaakisi uchumi uliopo.
uchumi ni nini?
nani anayemiliki uamuzi wa kuchapa hela?
mzunguko unaanza wapi unaishia wapi?
Habari wana JF,
Naomba kusaidiwa kujua jibu la swali langu, ni vigezo gani vinazingatiwa wakati wa kuchapishwa pesa?
Kwa mfano Tanzania ikitaka idadi ya noti za shilingi 10,000 zichapishwe 1,000,000 ni vigezo au masharti yepi inabidi itimizwe au wanatoa tu idadi ya noti?
Au idadi ya noti za kila nchi ni sawa?
Huo ubandia wake unakujaje? Asante kwa swali
Kwa majibu ya haya maswali, naomba kwa taadhima na ruksa ya utafiti niongezee kaswali hapo,
Ni nini madhara ya kuchapisha pesa bandia kwenye mzunguko wa matumizi ya pesa halali?
hakuna madhara mfumo utakuwa ulele wa mzunguko maana hata hela zenyewe ni makaratasi ila signed and known rather than bandia na kuongeza deni zikikamatwa maana watu watakuwa wamebadilishana
Mkubwa nashukuru lakini sijaelewa vizuri hayo maeneo niliyoyawekea rangi nyekundu!
Kuna zile nchi ambazo haziendi sawa na Marekani, mfano Iran, Russia na nyengine jee wao thamani ya pesa yao inakuaje juu na "wenye pesa" hawaelewani na hawa?
Hahaha,
Hivi aliyesema nina uwezo mdogo wa kufikiri ni nani? Si wewe?
kuna sauti wapi hapo mpaka niseme?
wapi nimeconcur hivyo?
hujui kitu about money you zip,it helps .