Anaejua kuhusu pesa

Anaejua kuhusu pesa

Hapo kivipi mkuu?

bila hela hutopata mahitaji yako ni lazima uwajibike kuitafuta kwa kupoteza mda na kutokuwa na uhuru ukiikosa ,hutaka utumie mda mpaka uwe na pesa au matokeo ya pesa e.g chakula .bili,nauli,nguo nk

wao wanatucontrol tuwaabudu bila wao ni tabu wao wanastarehe wao ni SHETANI
 
Uchapishwaji wa pesa unaendana na uchumi wa nchi.kwa mfano unapoingiza hela nyingi kwenye mzunguko kuliko thamani ya uchumi wako kunatokea deflation.Hivyo BOT wanahakikisha fedha inayozunguka inaakisi uchumi uliopo.
 
uchumi ni nini?

nani anayemiliki uamuzi wa kuchapa hela?

mzunguko unaanza wapi unaishia wapi?
 
Kwa majibu ya haya maswali, naomba kwa taadhima na ruksa ya utafiti niongezee kaswali hapo,
Ni nini madhara ya kuchapisha pesa bandia kwenye mzunguko wa matumizi ya pesa halali?
 
Kwa majibu ya haya maswali, naomba kwa taadhima na ruksa ya utafiti niongezee kaswali hapo,
Ni nini madhara ya kuchapisha pesa bandia kwenye mzunguko wa matumizi ya pesa halali?

Huo ubandia wake unakujaje? Asante kwa swali
 
Habari wana JF,

Naomba kusaidiwa kujua jibu la swali langu, ni vigezo gani vinazingatiwa wakati wa kuchapishwa pesa?

Kwa mfano Tanzania ikitaka idadi ya noti za shilingi 10,000 zichapishwe 1,000,000 ni vigezo au masharti yepi inabidi itimizwe au wanatoa tu idadi ya noti?

Au idadi ya noti za kila nchi ni sawa?

[h=3]Q: Why does money have value?[/h]A: Money doesn't have any inherent value. It is simply pieces of paper or numbers in a ledger. A car has value because it can help you get where you need to go. Water has a value because it has a use; if you don't drink enough of it you will die. Unless you enjoy looking at pictures of deceased national heroes, money has no more use than any other piece of paper.
It didn't always work this way. In the past money was in the form of coins, generally composed of precious metals such as gold and silver. The value of the coins was roughly based on the value of the metals they contained, because you could always melt the coins down and use the metal for other purposes. Until a few decades ago paper money in different countries was based on the gold standard or silver standard or some combination of the two. This meant that you could take some paper money to the government, who would exchange it for some gold or some silver based on an exchange rate set by the government. The gold standard lasted until 1971 when President Nixon announced that the United States would no longer exchange dollars for gold. This ended theBretton Woods system, which will be the focus of a future article. Now the United States is on a system of fiat money, which is not tied to any other commodity. So these pieces of paper in your pocket are nothing but pieces of paper.

Source Why does money have value?
 
Huo ubandia wake unakujaje? Asante kwa swali

Namaanisha kama Banki kuu ya Tanzania wameagiza noti 1,000,000 za shs 10,000/= zichapishwe kisha utafiti kwa ujanja ujanja wake akatengeza noti 100,000 za shs 10,000/= hazitakua na viwango sawasawa na pes halisi japo itahitaji umakini kugundua kwamba hizo sio miongoni mwa zile noti 1,000,000 zilizoingizwa na serikali kwenye mzunguko wa shughuli za ki uchumi. Hizo ndio nimeziita pesa bandia kwa lengo la huu mjadala.
 
Last edited by a moderator:
Kwa majibu ya haya maswali, naomba kwa taadhima na ruksa ya utafiti niongezee kaswali hapo,
Ni nini madhara ya kuchapisha pesa bandia kwenye mzunguko wa matumizi ya pesa halali?

hakuna madhara mfumo utakuwa ulele wa mzunguko maana hata hela zenyewe ni makaratasi ila signed and known rather than bandia na kuongeza deni zikikamatwa maana watu watakuwa wamebadilishana
 
hakuna madhara mfumo utakuwa ulele wa mzunguko maana hata hela zenyewe ni makaratasi ila signed and known rather than bandia na kuongeza deni zikikamatwa maana watu watakuwa wamebadilishana

Mkubwa nashukuru lakini sijaelewa vizuri hayo maeneo niliyoyawekea rangi nyekundu!
 
wasiposhtuka hakuna madhara

wakishtuka ni deni

Kuna zile nchi ambazo haziendi sawa na Marekani, mfano Iran, Russia na nyengine jee wao thamani ya pesa yao inakuaje juu na "wenye pesa" hawaelewani na hawa?
 
Kuna zile nchi ambazo haziendi sawa na Marekani, mfano Iran, Russia na nyengine jee wao thamani ya pesa yao inakuaje juu na "wenye pesa" hawaelewani na hawa?

hazikai na hela mfukoni

zina invest

wanalimbikiza assets

666 ndo mwisho wa ujanja wao na ushaanza mwisho unakaribia
 
0.jpg
 
Hahaha,

Hivi aliyesema nina uwezo mdogo wa kufikiri ni nani? Si wewe?

kuna sauti wapi hapo mpaka niseme?

wapi nimeconcur hivyo?

hujui kitu about money you zip,it helps .
 
historia ya pesa kwa kifupi.

Hapo mwanzo watu wali experience bata trade.na madini ndio yaliokuwa hot cake hususan dhahabu.
Kilichotokea ni kwamba masonara ndio wakawa watunza madini na watia sign katika madini husika.
Historia inaonyesha watu walitafuta portable object kwaajiri transaction ndio wakaangukia kwenye madini.
Na hapo ikawalazimu masonara kutengeneza nakshi za vipande vya dhahabu na fedha baadae zikawa coins na pia wakatengeneza karatasi zenye sign na maelezo(NOTES) ambayo baadae ikawa note.
Wale masonara baadae wakaingiliwa kibabe na tawala za mwanzo na kunyang'anywa mamlaka ya sign na decoration za coins na note zikawa chini ya mtawala ndio ikabadilika na kuitwa pesa.
Malengo ilikuwa ni kufanya tawala zimentain monetory power and to be last resort.

VIGEZO VYA KUCHAPISHA PESA.
Pesa inachapiswa kutemea na mambo mengi sana
1.stock exchange
2.economic imbalance
3.balance of payment
4. Price index
5.n.k.
Lakini kwa nchi zetu kuna ujanja flani wa kuiongeza pato la taifa.
 
Back
Top Bottom