Anaejua kuhusu pesa

Hii ungeipeleka jukwaa la uchumi na biashara, wachumi wana jinsi yao ya kufafanua hilo. Hii mada itageuka maana sasa hivi, labda kama na wewe ulimaanisha kingine na si kiuchumi.
 
Hii ungeipeleka jukwaa la uchumi na biashara, wachumi wana jinsi yao ya kufafanua hilo. Hii mada itageuka maana sasa hivi, labda kama na wewe ulimaanisha kingine na si kiuchumi.

Sina maana yeyote yakiuchumi mkuu, hii mada ni ya hapa hapa. Swali langu lipo kwenye pesa yenyewe kama pesa (noti) sio uchumi
 
Sina maana yeyote yakiuchumi mkuu, hii mada ni ya hapa hapa. Swali langu lipo kwenye pesa yenyewe kama pesa (noti) sio uchumi

Hahahaha haya bana nimekuelewa, navyofahamu mimi hakuna mtu anacontrol idadi ya noti nchi inazoweza kuprint, lakini economic impact ya kuprint makaratasi mengi bila kufanya kazi unaweza kuwauliza Wazimbabwe.
Kwani wewe uvumbuzi wako ni upi mkuu?
 
Hahaha, you are sick.

Mara unaomba msaada, mara sijui kitu.

You need your meds.

naumwa ugonjwa upi?

sijakuomba msaada nataka nijue on your view how do you see money

kwasababu nilchokuitia huna mda ni vyema ukapotezea

huwa unapata
KUJISHTUKIAPHOBIA

MIND IS MY MED
 
Hahahaha haya bana nimekuelewa, navyofahamu mimi hakuna mtu anacontrol idadi ya noti nchi inazoweza kuprint, lakini economic impact ya kuprint makaratasi mengi bila kufanya kazi unaweza kuwauliza Wazimbabwe.
Kwani wewe uvumbuzi wako ni upi mkuu?

kama sio mtu anayecontrol ni nani ?
 
Hahaha,

Hivi aliyesema nina uwezo mdogo wa kufikiri ni nani? Si wewe?

Mkuu una kumbukumbu sana,mimi naweza bishana na mtu humu na kesho nisimkumbuke...wachache sana ndo huwa naweza kukumbuka huyu tujadili nini...
 
Mkuu una kumbukumbu sana,mimi naweza bishana na mtu humu na kesho nisimkumbuke...wachache sana ndo huwa naweza kukumbuka huyu tujadili nini...

umejuaje kama aliyoyaandika ni ya kweli ?una evidence?

na wewe ni mwenyewe upeo mdogo .

kumbe huwa unabishana
Mada husika unaifahamu au ndo kuonyesha udhaifu kwa migongo ya wengine
 
eleza theory yako sasa tujadili.

ni mzunguko wa makaratasi uliyovishwa thamani na kikundi kimoja cha wapinga kristu chini ya wamiliki wa dhahabu na almasi maana ndo vinathamani wao ndo wanacheza na tarakimu na mahesabu wakipanga matumizi kwa ganda la uchumi kwa lengo la kuwafanyisha kazi watu dunia nzima huku wanaofanya kazi wanapoteza mda na uhuru wao kwa ajili ya pesa lengo ni kuweka dola moja na dunia iwe chini ya kundi moja na watawale
 
Hahahaa, si mchezo.
Inabidi title ibadilishwe ili tujadili vizuri hii mada. kwa maana hiyo ONE WORLD ORDER imeshatimilika na imefanikiwa, wamerahisisha maisha, tuwapongeze.
 
Hahahaa, si mchezo.
Inabidi title ibadilishwe ili tujadili vizuri hii mada. kwa maana hiyo ONE WORLD ORDER imeshatimilika na imefanikiwa, wamerahisisha maisha, tuwapongeze.

hawajarahisisha wameyashikilia
 
Rudi darasani!
 
Kwa hiyo wewe hautumii pesa.....What a fool..
Unalishwa mavi unakula kisha unakuja kulalamika mavi ni mabaya wakati unabugia...

Hama hii dunia / au kufa kabisa...

Fool kabisa wewe..
 
Kwamfano hela zote (yale makaratasi) yazuiliwe kutumika na kua na thamani kama hivi sasa maisha yatakuaje?

watu watatumia almasi na dhahabu badala ya makaratasi ,thamani itarudi,uhuru na mda wako pia.

Ila haliwezakani system cannot be changed ila improved but zitapotea hapo mbele
 
Mkuu huyo ndo Nchabato Machalia......Amejawa na Illusion za lesoni..

kama wewe ulivyojaa assumptions but not facts?

umejuaje mi msabato?

tuambie we unajua nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…