Anaejua Lissu anaepeleka wapi atwambie

  • Katiba Mpya
  • Tume huru ya uchaguzi

Hapa juu ndipo panapo sababisha uzezeta wa watanzania....
Ni lazima kutatua hapo kwanza.

Lissu ni mtu sahihi na Mpina na yeye kasema bila katiba mpya tunajitekenya afu tucheka wenyewe.
 
Michango kwanza anataka apatiwe aliyoomba wafuasi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…