Anaejua Lissu anaepeleka wapi atwambie

Anaejua Lissu anaepeleka wapi chadema atwambie.
Mimi naona giza tu mbeleni
Anaipeleka Chadema shimoni. Hakuna chama kilichowahi kuongozwa na wanaojiita Mawakili Wasomi kikafanikiwa. Mfano ni NCCR- MAGEUZI. Sababu ni kuamini wana akili kumbe ni mangwini wa kukariri tu!
 
Watu wa Mbowe mlisema mtavunja makundi
Watu wa mbowe mlisema mtakutana kwenye debe hadharani mliunda mpaka group lenu Mbowe Rais 2025 πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yeriko mshauri wa Rais
Sasa Demokrasia ndio hiyo mmepigqa unganeni mjenge chama chenu acheni mambo mengi zaidi...

Kaeni kwa kutulia sasa kama Lisu aliwapiga mkiwa madarakani kurugenzi zote zenu sasa hivi mtamweza?
 
Anaipeleka Chadema shimoni. Hakuna chama kilichowahi kuongozwa na wanaojiita Mawakili Wasomi kikafanikiwa. Mfano ni NCCR- MAGEUZI. Sababu ni kuamini wana akili kumbe ni mangwini wa kukariri tu!
Nyie ccm Mzee wasira anaipeleka wapi? Vyama vya ukombozi vyote viliongozwa na Dam changa,
 
Mkuu Malaria 2 bado huamini kwamba Lissu ndiyo Mwenyekiti wa Chadema Taifa 2024-2029

Msiyemtaka kaja

By the way, umefanikiwa kuuliza na yule wa Chama tawala anapotupeleka?

Kufikia Mwaka Jana 2024 deni la Taifa limefikia Trillioni 96 kutoka trillion 62 wakati wa JPM 2021

Yaani miaka hii mitatu zimeshakopwa trillioni 34

Wastani wa trillioni 12 Kila Mwaka πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…