Anaejua sakata la jamaa wa Kigamboni waliojiunganishia bomba la mafuta liliishia wapi atujuze

Kwa mtazamo wangu,nikukumbushe Kuwa ipo kitu inaitwa plea bargain ,haijamalizika kwa mtindo huo kweli, kama yupo mdau anayeweza kutujulisha kama iliingiamo tuweze kujua zaidi kutokea hapo, ikiwa ni pamoja na bei yake🤔
 
Huwajui tu, endelea kuchezea sharubu zao,wasipo kuchomoa dirishani na kukurusha nje ya dirisha la jukwaa hili😂😂😂😂
 
Haya ndugu ✏️,Kalamu na tukupe homework tutafute mwendelezo wa jambo hili ili wote tusiwe wakilalamika na kusahau,ikikupendeza tuanzie na alipo ndugu Dc, ikipendeza na iliyokuwa kamati yake wakati huo.Japo watatupa dira ya uelekeo wa jambo lenyewe🤔
 
Matukio ni mengi, mengine wanayasahau yawezekana kasahaulika na Mahakama
 
Kalemani alikuwa anataka Hela, bahati mbaya sana yeye ndio akaondolewa kwa kashfa hiyohiyo ya kutaka hela
 
Project kubwa, kali na hatari kama ile haiwezi kufanywa na mlala hoi.

Ninaaamini kuna mkono wa mtu kutoka kwa wenye mamlaka. Na ninaamini BT na familia yake ndo wahusika kwa 100%. Waliokamatwa ni watekelezaji tu. Lakini masterminder ni wao.
 
Nilimjibu sawa kisha nikaendelea kuandika
Uzuzu wa middle class ndio unaipeleka hii nchi kuzimu, wengi wanakumbuka matokeo ya mechi za mpira miaka zaidi ya 20 iliyopita kuliko issue muhimu za kitaifa, Ile fedha ndefu iliyopigwa kwenye ule mkutano wa Brazil nchi ipo kimya!,ripoti zote za mkaguzi mkuu wa serikali hakuna hata moja iliyokuja clean, royal families wanaendelea kumega mapande makubwa ya pie yetu, kama Mwananchi newspaper imemsahau mwandishi wake wa habari Azory, tutegemee nini?
 
Uko sahihi kabisa brother
 
Nchi makini kiutawala huachw salama unarudisha jax lote na unakula tanzi!! Lkn huku tunaimbishwa nyimbo za uzalendo kikudakuda tu kumbe geresha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…