Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

Monomer

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2023
Posts
214
Reaction score
358
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
20241008_141022.gif
 
Vikwangue viwe vinatoka damu,halafu chukua Papai bichi ligonge na kitu mpaka litoe utomvu halafu paka kwenye hivyo vipele,au kata jani la mpapai pale linapokutana na shina litatoa utomvu pakaza hapo kwenye hivyo vidonda,utakuja kunishikuru...
 
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.View attachment 3118745
Chukua majani ya mlongelonge twanga changanya na maji ya ndimu koroga vizuri kisha jipakae mara 3 kwa siku
 
Vikwangue viwe vinatoka damu,halafu chukua Papai bichi ligonge na kitu mpaka litoe utomvu halafu paka kwenye hivyo vipele,au kata jani la mpapai pale linapokutana na shina litatoa utomvu pakaza hapo kwenye hivyo vidonda,utakuja kunishikuru...
ahsant
 
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.View attachment 3118745
Pole sana mkuu. Ubaya wa haya madude ukiyaacha yanazidi kukuwa na kuongezeka maradufu. Ulishaenda hospitali wakashi dwa kuyatibu mkuu?
 
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.View attachment 3118745
Ugonjwa Unaitwa "Keloids are benign, dermal growths related to previous skin trauma or inflammation. Lesions may develop as early as 1 to 3 months or as late as one year after injury.
Keloid growth might be triggered by any sort of skin injury — an insect bite, acne, an injection, body piercing, burns, hair removal, and even minor scratches and bumps.
The most common treatments include intralesional or topical steroids, cryotherapy, surgical excision, radiotherapy, and laser therapy. This activity reviews the evaluation and treatment of keloids and the role of the interprofessional team in managing and educating patients with this condition.
 
Back
Top Bottom