Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

Sulphur 8 inapatikana kwenye maduka ya vipodozi ukipaka Ina kiharufu kizuri ivi na inakua kama inachoma .... Kama nikitumia hiyo asubuhi , jioni nikioga napaka mafuta ya nazi.
Hii niliwahi kupaka kwa miezi kadhaa ikashindikana mkuu. Ulitumia muda gani mkuu?
 
Hii niliwahi kupaka kwa miezi kadhaa ikashindikana mkuu. Ulitumia muda gani mkuu?
Hii nilitumia kuanzia 2013 Hadi 2018 nikawa clear... Mwanzoni nywele zilikua zimekatika na kichwa kutoa unga mweupe baada ya kupaka unga mweupe ukaisha na nywele zikaacha kukatika ila nikawa nikiacha kupaka inajirudia so nikaamua kukomaa kwa miaka yote hiyo ndio nikapona.
 
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.View attachment 3118745
tunaita acne keloids. kuna paste unaandaa kwa spices kama tumeric, vitunguu na gotukola ,kuisha ni siku 45 hadi 60
 
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.View attachment 3118745
mimi nnavyo pia huwa vinapotea nikitumia Epidem cream, naipaka baada ya kuoga na huwa nnavisugua kwa dodoki gumu (kipande cha gunia)

alaf napaka epiderm, sipati miwasho wala nn, ila nikiacha kwa muda kuapply cream yanarud, so nnaish nayo hyo cream na kuitumia japo sio kila mara n pale nnapohisi miwasho au kama vinapasuka..
 
Back
Top Bottom