Anaepajua jaribu, njia ya kwenda kusini

Anaepajua jaribu, njia ya kwenda kusini

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Naulizia kwenda hiyo sehemu ni lazima kupanda magari ya mkoani yanayoenda Mikoa ya kusini au kuna daladala au magari madogo yanayoenda huko?
 
Nenda pale mbagala Rangi tatu,Kuna kituo cha magari kipo karibu na kituo cha magari ya kusini(Mbagala terminal). Hapo Kuna magari ya maeneo ya pwani ambayo hayafiki mikoani kusini Moja kwa Moja. Yanaishia maeneo ya karibu na Dar es salaam.

Ukifika hapo ulizia magari yanayoenda kibiti,kisha konda mwambie unashuka karibu ila hupajui ili usije ukapiliza.
 
Nenda pale mbagala Rangi tatu,Kuna kituo cha magari kipo karibu na kituo cha magari ya kusini(Mbagala terminal). Hapo Kuna magari ya maeneo ya pwani ambayo hayafiki mikoani kusini Moja kwa Moja. Yanaishia maeneo ya karibu na Dar es salaam.

Ukifika hapo ulizia magari yanayoenda mkamba,kisha konda mwambie unashuka karibu ila hupajui ili usije ukapiliza.
Asante Sana ya kwenda mkamba ndio yanapitia hiyo njia ya kusini
 
Asante Sana ya kwenda mkamba ndio yanapitia hiyo njia ya kusini
Sorry mkuu,

Mkamba nadhani ipo nyuma. Kwa hiyo magari ya mkamba nimechanganya.

Cha kufanya,fika hapo nilipokuambia(mbagara Rangi tatu) kisha waambie nataka kwenda karibu mpakani,watakuonyesha gari la kupanda.

Kikubwa ufike mbagala Rangi 3.
 
Sawasaw mkuu
 
Write your reply...panda gari za kibiti shuka Mjawa. Ila kijiji cha Jaribu mpakani ni maarufu sana tz na ni kikongwe tumekisoma shule ya msingi
 
Ukifika kibiti pumzisha akili tafuta mtoto mmoja wa kindengereko utakuja kunishukuru
Baada ya siku mbili endelea na safari
 
Back
Top Bottom