Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
NI kweli, ila wanaotoa assist, huwa hawapewi sifa wanazostahili, na wafungaji wa magoli hutembelea nyota za wenzao. Unakuta mtu kabaki na kipa tu ila akifunga, hizo sifa utashangaa hasa akiwa teyari ana jina kubwa.Inategemea na aina ya goli, kuna magoli mengine ni magumu mno na mengine ni mepesi na pia kwenye kutoa assist ni hivyo hivyo kuna wachezaji hupambana sana kisha kumpa mchezaji afunge kiwepesi ila kuna assist nyingine mtu hatumii nguvu kubwa kutoa pasi ya mwisho ya goli. Hivyo inategemea na aina ya goli lenyewe
Kumfunga kipa kama wa soith africa au nihetia sio kazi ndogo,hata kama mnatazamana,anaweza kudaka,mpira ni magoliNI kweli, ila wanaotoa assist, huwa hawapewi sifa wanazostahili, na wafungaji wa magoli hutembelea nyota za wenzao. Unakuta mtu kabaki na kipa tu ila akifunga, hizo sifa utashangaa hasa akiwa teyari ana jina kubwa.
We panbana tena sometimes kwa uwezo wako binafsi kisha mpasia mchezaji kama Mesi akiwa anatazamana na kipa halafu afanikiwe kufunga utasikia sifa anazopewa na mtangazi bila kusahau mashabiki huku alietoa assist akiishia kuhesabiwa hii ni assist yake ya ngapi na wengine wanaweza hata wasimjue ni nani huyo.
Lengo la timu mchezoni ni kufunga goli. Bahati mbaya goli hufungwa na mtu mmoja tu na ndio maana anapata sifa kuliko wengine. Hii inaitwa "taking one for the team". Naturally goli likifungwa huwezi kuisifia timu nzima, it wouldn't make sense. By the way, hata huyo aliye-assist alipewa mpira na mtu mwingine. Ukitaka kumsifia kila aliyegusa mpira kabla ya kumfikia mfungaji haitakuwa na maana tena.Katika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku zote ni huyo mfungaji.
Swali ni je, wewe kwa mtazamo wako, nani hufanya kazi kubwa kati ya wachezaji hawa wawili?
Mfano mzuri ni yule youngest player wa Ivory Coast alietoa assisi kwa Haller anaenekana ndio shujaa wakati yule dogo ndio alifanya kazi ya ziada kwenye ile mechi ya Fainali dhidi ya Nigeria.
Wote wawili kwani hiyo inaitwa assist baada ya goli kufungwaKatika soka, mfungaji wa goli mara nyingi ndio humiminiwa sifa na kuonekana ni bora, ila ukweli wanaotoa assist mara nyingi ndio hufanya kazi kubwa kumfikishia mpira mfungaji ila anaesifiwa siku zote ni huyo mfungaji.
Swali ni je, wewe kwa mtazamo wako, nani hufanya kazi kubwa kati ya wachezaji hawa wawili?
Mfano mzuri ni yule youngest player wa Ivory Coast alietoa assisi kwa Haller anaenekana ndio shujaa wakati yule dogo ndio alifanya kazi ya ziada kwenye ile mechi ya Fainali dhidi ya Nigeria.