Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

Hayo magari watu watayakimbia saivi kodi sio rafiki kabisa
Hahahahah we huwajui wabongo! Tena ndio wataagiza kwa kasi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Najaribu ku imagine huyo raisi ajaye kama atakuwa mtu wa pwani watu tutakulaje bata! Maana hapo alipo anateseka sana kama sisi tunavyohenyeka.

Make TZ Shamba la Bibi again!
 
Makampuni ya kuuza magari ya mtumba itabidi wabalance bei ya kununulia kidogo bila hivyo mji utajaa vitz, honda fit na ist
 
Makampuni ya kuuza magari ya mtumba itabidi wabalance bei ya kununulia kidogo bila hivyo mji utajaa vitz, honda fit na ist
Hata wakibalance haisaidii sababu TRA washaset CIF values zao kwenye kiji system uchwara chao kile.

We gari hata ukiuziwa laki 5 kwenye mfumo wao wakishalipa bei ya sokoni 5M na kodi kwa bei hio ni 6.5M huruma yao itakuwa kama ukinunua 6M sokoni tofauti na wao walivyopanga ndio mtafanya adjustments.
 
Huzijuia toyota ndio maana umeishi hapo tu kwenye fortuner. Unamiliki benz aina gani hapo ulipo ?
Sina Benz kaka namiliki kigari cha kawaida tu...ila Mungu akijaalia huko mbeleni, bwana magufuli akitoka madarakani, na kodi za TRA zikipungua, tutamiliki gari za heshima mkuu
 
Utamuuzia nani Generator mkononi? I mean taasisi gani itafanya huo uboya wa kununua generator la mamilioni mkononi?
Generator uuzaji wake ni usumbufu kwa sababu huwezi kulibeba kichwani kwenda nalo migodini kulitangaza,ila gari hata akitokea mteja mwanza unatia kishoka unawasha ndinga hadi mwanza watu wanaithaminisha wanakupa mkwanja muda huo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…