Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

Kwani Magu anazui watu kununua magari ?
babu inamana we huoni hali halisi....mtu unanunua gari 10000usd kodi TRA unalipia 15000usd....hapo bado hujaingia nalo road hujakutana na trafik nao wanataka pesa...enzi za jakaya haya mambo hayakuwepo mkuu, ndiomana nasema ngoja magu atoke kwanza madarakani
 
Ukifika paki gari lako getini pale chuo halafu panda juu ya boneti anza kunengua mayenu,kibinda nkoi


Utashitukia warembo wanakuja tu
Ndio ulivyo kuwa unafanya enzi zako eeh ?
 
$25,000 palefu sana
 
Kuna gari zinakuwa na exemption utakapozihamishia kwenye umiliki binafsi lazima ulipie kodi

Pia kuna gari zinasajiliwa kibiashara ukizipeleka umiliki binafsi unalipia na kama wana deni inabidi kuclear
 
Shukrani kaka. me siyajui sana magari ko kuna fundi nimemleta kuzikagua anasema bado nzima na hazijabadilishwa kifaa chochote cha ndani ukiacha cover za sit
Unaposema 'ko' unamaanisha 'so'?
Mbona maneno hayaendani kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…