Anaezifahamu vizuri gari aina ya Toyota Vanguard na Harrier msaada tafadhali

Sina chakukulipeni Wakuu. mmenifungua vizuri sana. Ko ili nijue kama limelipiwa au lina exemption pa bila wao kujua nifanyeje? nikienda Tra na plt number wanaweza niangalizia au njia gani nitumie?
Hapa tena naona umeandika 'ko'.
Unamaanisha 'so'?
 
Haya kwetu siku hizi tunabebea abiria 7000 tuu arusha to namanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiza

Kizazi cha laana kinawaza ngono tuuuu
Halafu hajui kutongoza anataka afundishwe

Sijui huko Jandoni wanafundishwa nini sikuhizi...... Oooh hakuna hicho kitu tena mambo ya kizungu
 
Achana na tako la nyani mkuu linakunywa mafuta kama shetani.
Halafu kuwa makini kama ambavyo wadau wanavyoainisha hapo juu kuhusu kodi. Magari ya miradi husamehewa kodi ila matumizi yakibadilika basi. Kwann wakuachie kirahisi hivyo
Mtaalam
 
hapo ajiandae na kodi isiyopungua 10M ambayo nayo inaeza kuzidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…