East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
😀😀😀 ukiwa na gari una ng'oa mademu eehNenda kwa Vanguard mzee tena ukiipimpu mzee inakubali...ila mkuu ukishachukua nikodishe wikiendi moja nikang'ole mademu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 ukiwa na gari una ng'oa mademu eehNenda kwa Vanguard mzee tena ukiipimpu mzee inakubali...ila mkuu ukishachukua nikodishe wikiendi moja nikang'ole mademu.
Hapana gari nazimiliki mwenyewe ndo mana wanasema waniachie gari moja mana baada ya kuwa wamekabidhi mradi na wapo wauza vitu nikajua kabisa naachwa kwenye mataa ko nacheza nazo 24hoursHapo unaingizwa Cha kike. Hupati Gari Wala cash
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ko we kipaumbele chako kwenye gari ni madem washobokee?Tako la nyan mademu hawashobok
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Sawa kaka ntakustuaUnawadai 6230usd ambayo kwa haraka haraka ni kama 15M hivi....bei ya vanguard mzee kwasasa ni kuanzia 30M na kuendelea.....Chukua Vanguard hiyo....uza ata kwa 25M unakuwa umerudisha pesa yote unayowadai na faida juu.....
Afu ukishauza hiyo vanguard unicheki PM nikupeleke bar yenye mademu wakali[emoji3][emoji3]
Hahaha bd hujavuta golf polo mkuu?Nenda kwa Vanguard mzee tena ukiipimpu mzee inakubali...ila mkuu ukishachukua nikodishe wikiendi moja nikang'ole mademu.
[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Nenda kwa Vanguard mzee tena ukiipimpu mzee inakubali...ila mkuu ukishachukua nikodishe wikiendi moja nikang'ole mademu.
Nisahihi unachosema kaka but story ipo iv: tar 14 Mwezi Desember wamekabidhi mradi baada ya hapo wakatuambia (watu wachache tunaowadai) kuwa Wanasubiri wamaliziwe % zilizobakia za malipo watupe. Sasa kimya kikatanda kufuatilia tukaambiwa washalipwa sasa kilichokuja kutushtua wakaanza kuvunja Kambi na Baadhi ya vifaa wakawa wanawauzia makampun mengine ya hapa bongo na watu binafsi likiwemo hilo Generetor .Achana na habari za hayo magari, kama hiyo taasisi ilikuwa kubwa basi naamini waliokuwa na Emergency Generator kubwa. Wewe komaa wakuachie hiyo jenereta kubwa maana wao huwa wananunua zikiwa mpya na Kwa miaka 2 itakuwa na Masaa machache iliyofanya kazi.
Na hutopata tabu kuliuza maana thamani yake sokoni kubwa,hakuna maswala ya Kodi, risk za ajali.
Pambana upate mtambo wowote au mashine hutojutia uamuzi.
Mademu wanashoboka na passo ndio wasiishobokee harrier!we jamaa wa wapi wewe!Tako la nyan mademu hawashobok
Kumbe ni kweli Unavuta bangi!!Unawadai 6230usd ambayo kwa haraka haraka ni kama 15M hivi....bei ya vanguard mzee kwasasa ni kuanzia 30M na kuendelea.....Chukua Vanguard hiyo....uza ata kwa 25M unakuwa umerudisha pesa yote unayowadai na faida juu.....
Afu ukishauza hiyo vanguard unicheki PM nikupeleke bar yenye mademu wakali[emoji3][emoji3]
Kwanini mkuu tupe faida.Vanguard kitu mwake [emoji122] japo mi toyota brand hata bure sitaki [emoji36]
Hahaha bd hujavuta golf polo mkuu?
[emoji3][emoji3][emoji3] ukiwa na gari una ng'oa mademu eeh
Kuna gari hapo ina ongezeko la asilimia 168%. Tatizo nini hawa TRA? Ni kufikisha target ya makusanyo ya kodi ama?[emoji116][emoji116]View attachment 1671601
Hayo magari watu watayakimbia saivi kodi sio rafiki kabisaKuna gari hapo ina ongezeko la asilimia 168%. Tatizo nini hawa TRA? Ni kufikisha target ya makusanyo ya kodi ama?