kenten
Senior Member
- Sep 21, 2018
- 169
- 194
Habari wataalam.
Nahitaji mbia ili tuendeshe kampuni ya ujenzi(Contractor) Class 6. Kiuhalisia kampuni ipo tayari, ina uzoefu wa kutosha, vifaa vyote vya kazi na Staff wote wa kufanya kazi za Ukandarasi.
Nachohitaji kutoka kwa Mbia ni yeye awekeze mtaji wa kujiendesha. Kwa kuanzia tutahitaji pesa ya kurejesha vibali na leseni kwa kuwa kampuni ilisimama kwa muda, (hapa haitazidi 2 m).
Pesa nyingine zaidi itahitajika tukishapata tender akiweza kuwekeza kuanzia 30m na kuendelea itakuwa vizuri zaidi.
Mgawanyo wa faida na vingine vyote ikiwemo jinsi ya kufanya kazi tutajadiliana na kukubaliana.
Kwa maelezo zaidi 0769652919