Anahitaji Mbia wa kuwekeza katika kampuni ya Ukandarasi

Anahitaji Mbia wa kuwekeza katika kampuni ya Ukandarasi

kenten

Senior Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
169
Reaction score
194
Habari wataalam.

Nahitaji mbia ili tuendeshe kampuni ya ujenzi(Contractor) Class 6. Kiuhalisia kampuni ipo tayari, ina uzoefu wa kutosha, vifaa vyote vya kazi na Staff wote wa kufanya kazi za Ukandarasi.

Nachohitaji kutoka kwa Mbia ni yeye awekeze mtaji wa kujiendesha. Kwa kuanzia tutahitaji pesa ya kurejesha vibali na leseni kwa kuwa kampuni ilisimama kwa muda, (hapa haitazidi 2 m).

Pesa nyingine zaidi itahitajika tukishapata tender akiweza kuwekeza kuanzia 30m na kuendelea itakuwa vizuri zaidi.

Mgawanyo wa faida na vingine vyote ikiwemo jinsi ya kufanya kazi tutajadiliana na kukubaliana.

Kwa maelezo zaidi 0769652919
 
Habari wataalam.

Nahitaji mbia ili tuendeshe kampuni ya ujenzi(Contractor) Class 6. Kiuhalisia kampuni ipo tayar, ina uzoefu wakutosha, vifaa vyote vya kazi na Staff wote wakufanya kazi za Ukandarasi.

Nachohitaji kutoka kwa Mbia ni yeye awekeze mtaji wa kujiendesha.Kwa kuanzia tutahitaji pesa ya kurejesha vibali na leseni kwa kua kampuni ilisimama kwa muda, (hapa haitazidi 2 m).

Pesa nyingine zaidi itahitajika tukishapata tender akiweza kuwekeza kuanzia 30m na kuendelea itakua vizuri zaidi.
Mgawanyo wa faida na vingine vyote ikiwemo jinsi ya kufanya kazi tutajadiliana na kukubaliana.

Kwa maelezo zaidi 0769652919
Kampuni ilifunguliwa mwaka gani? Imeshafanya tender ngapi tangu ifunguliwe? Za Serikali au taasisi zake ni za sh ngapi? Za private je? Tender kubwa kuliko zote ilikuwa ni ya Tsh ngapi?
 
Wewe wekeza mtaji, mimi nitakupa staff wataohitajika pia nipo tayari kwa usimamizi endapo itahitajika.
 
Una uhakika wa kupata zabuni ngapi ndani ya miezi 3?
 
Mkuu hongera kwa kuwa na kampuni yenye udhoefu wa miaka mingi pia imefanyq miradi mingi kupitia hizo kazi ulizofanya na miaka ilitakiwa uwe na Class 3 au 4, Kingine najiuliza kwanini utake mtu aingize mtaji wakati haujapata hata tenda?

Na kama unataka mtu mwenye mtaji aingize pesa kwenye kampuni yako kwanini usimpe kabisa japo hisa ili umshawishi mfanye kazi pamoja.
 
mkuu hongera kwa kuwa na kampuni yenye udhoefu wa miaka mingi pia imefanyq miradi mingi kupitia hizo kazi ulizofanya na miaka ilitakiwa uwe na Class 3 au 4 ,Kingine najiuliza kwanini utake mtu aingize mtaji wakati haujapata hata tenda? Na kama unataka mtu mwenye mtaji aingize pesa kwenye kampuni yako kwanini usimpe kabisa japo hisa ili umshawishi mfanye kazi pamoja.
Ndio nitamgawia hisa, kuhusu kupanda class hayo ni maamuzi tu, mimi naamini katika kufanya kazi nyingi ndogondogo kuliko kubwa moja.
 
mkuu hongera kwa kuwa na kampuni yenye udhoefu wa miaka mingi pia imefanyq miradi mingi kupitia hizo kazi ulizofanya na miaka ilitakiwa uwe na Class 3 au 4 ,Kingine najiuliza kwanini utake mtu aingize mtaji wakati haujapata hata tenda? Na kama unataka mtu mwenye mtaji aingize pesa kwenye kampuni yako kwanini usimpe kabisa japo hisa ili umshawishi mfanye kazi pamoja.
Ukisoma vizuri andiko langu, nmebainisha wazi pesa nyingi ataweka baada ya kupata tenda.
 
Makampuni mengi yanatafuta kazi; kama una uhakika mkubwa wa kupata kazi, nakushauri, andaa 'MoU' na kampuni yenye mtaji, ili uweze kutimiza ndoto zako.
 
Back
Top Bottom