kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
-
- #21
Asante mkuu nimekuelewa vemaDiploma ata 10 ruksa kua nazo. Kuhusu uzuri wa course nisiwe muongo. Maana Bongo vitu vinaenda na trend. Anaweza ona nzuri leo ila baada ya kugraduate miaka 3 ikawa imesaturate.
Ok nashukuru kwa taarifa nduguKozi ya mionzi (Radiology) ajira yake walau ipo ukilinganisha na hiyo clinical officer
Anhaa asante nduguMbona hamna shida kuwa na diploma mbili
Kati yenu nani anavuta bange mbichi sasa mkuu?Asante sana daktari kwa ushauri wako nimekuelewa vema nitajaribu kuwaeleza ndugu na kuwaonesha huu ushauri wako🙏
Kumbe dogo yupo sahihi,Atusamehe bure kwa kutokujua mambo🙏
dogo nina mashaka naeKati yenu nani anavuta bange mbichi sasa mkuu?
Sawa ndugu nimekuelewa tutamuacha kijana akasomeBinafsi nadhani mleta mada ndiye anaweza kuwa anachanganyikiwa. Kwa maisha yalivyo magumu hivi, mtu ambaye hana ajira, ana zunguka vijiweni kutafuta riziki unamuona kachanganyikiwa? Kama ukoo wenu mgekuwa na Hospitali mkamuajiri kisha akakataa, ningemuona mwehu. Nyie hamna ajira, ila ni watoa ushauri tu, Kaomba MD program hajapata, labda hana qualifications za kutosha, na Je akipata MD program mnaweza kumsomesha au anapesa ya kijisomesha au itakuwaje tena?
Huyu ni kijana anajitafuta, msibeze mawazo yake, mimi namuelewa sana. Kwa ufupi hizo course za mionzi, Radiology Techician zinalipa kwenye mazingira yetu, na malipo yake zaidi ni Rushwa. Watu wengi uhitaji huduma hizo, na hawazipati kirahisi, hivyo kuongeza mianya ya rushwa kwenye maeno zinapotolewa huduma hizo.Hivyo kuwafanya ma Radiology Technicins kupiga pesa nyingi nje ya mishahara yao. Kinachotafutwa ni pesa, career ni ubishoo tu siku hizi.
Akifanikiwa kusoma na akapata kazi, huyo mnaweza msimsikie kabisa., kwa vijipesa vya kuishi hizo course zina lipa sana hospitalini mwacheni akasome, kama hamna njia ya kumsaidia kufanya MD.
Mwambie haende pale shinyanga akachukue kozi ya kuendesha Mitambo mikubwa (operators) atakuja kukushukuru kesho.Kaka mtu anakuwaje na diploma mbili asee
Mwambie haende pale shinyanga akachukue kozi ya kuendesha Mitambo mikubwa (operators) atakuja kukushukuru kesho.
Hiyo kozi ni ya muda gani nduguMwambie haende pale shinyanga akachukue kozi ya kuendesha Mitambo mikubwa (operators) atakuja kukushukuru kesho.
Mwaka mmoja?Hiyo kozi ni ya muda gani ndugu
safi kwa hiyo anakuja kuwa dereva wa hizi mashine za kutengeneza barabara na ada yake ni sh ngapiMwaka mmoja?
Ndiyo mpaka Migodini na viwanda vya sukari.safi kwa hiyo anakuja kuwa dereva wa hizi mashine za kutengeneza barabara na ada yake ni sh ngapi
Safi sana inaonekana ina hela sana hiiNdiyo mpaka Migodini na viwanda vya sukari.
Nakupata ni rahisi niwewe na gamba lako.Safi sana inaonekana ina hela sana hii
poa mkuu nitamgusia dogo na hii issue shukrani sanaNakupata ni rahisi niwewe na gamba lako.
Kwa nini mkuu?Yupo sawa wewe mleta maada na ukoo wenu ndo mnahitaji msaada wa kisaikolojia! Tena chap kwa haraka
UKijiona wewe sio kichaa kwa kujilinganisha na kichaa tambua wewe upo mirembe ila day!Kwa nini mkuu?