Anahitaji msaada wa kisaikolojia

Anahitaji msaada wa kisaikolojia

Asante sana daktari kwa ushauri wako nimekuelewa vema nitajaribu kuwaeleza ndugu na kuwaonesha huu ushauri wako🙏

Kumbe dogo yupo sahihi,Atusamehe bure kwa kutokujua mambo🙏
Kati yenu nani anavuta bange mbichi sasa mkuu?
 
Binafsi nadhani mleta mada ndiye anaweza kuwa anachanganyikiwa. Kwa maisha yalivyo magumu hivi, mtu ambaye hana ajira, ana zunguka vijiweni kutafuta riziki unamuona kachanganyikiwa? Kama ukoo wenu mgekuwa na Hospitali mkamuajiri kisha akakataa, ningemuona mwehu.

Nyie hamna ajira, ila ni watoa ushauri tu, Kaomba MD program hajapata, labda hana qualifications za kutosha, na Je akipata MD program mnaweza kumsomesha au anapesa ya kijisomesha au itakuwaje tena?

Huyu ni kijana anajitafuta, msibeze mawazo yake, mimi namuelewa sana. Kwa ufupi hizo course za mionzi, Radiology Techician zinalipa kwenye mazingira yetu, na malipo yake zaidi ni Rushwa. Watu wengi uhitaji huduma hizo, na hawazipati kirahisi, hivyo kuongeza mianya ya rushwa kwenye maeno zinapotolewa huduma hizo.Hivyo kuwafanya ma Radiology Technicins kupiga pesa nyingi nje ya mishahara yao. Kinachotafutwa ni pesa, career ni ubishoo tu siku hizi.

Akifanikiwa kusoma na akapata kazi, huyo mnaweza msimsikie kabisa., kwa vijipesa vya kuishi hizo course zina lipa sana hospitalini mwacheni akasome, kama hamna njia ya kumsaidia kufanya MD.
 
Binafsi nadhani mleta mada ndiye anaweza kuwa anachanganyikiwa. Kwa maisha yalivyo magumu hivi, mtu ambaye hana ajira, ana zunguka vijiweni kutafuta riziki unamuona kachanganyikiwa? Kama ukoo wenu mgekuwa na Hospitali mkamuajiri kisha akakataa, ningemuona mwehu. Nyie hamna ajira, ila ni watoa ushauri tu, Kaomba MD program hajapata, labda hana qualifications za kutosha, na Je akipata MD program mnaweza kumsomesha au anapesa ya kijisomesha au itakuwaje tena?

Huyu ni kijana anajitafuta, msibeze mawazo yake, mimi namuelewa sana. Kwa ufupi hizo course za mionzi, Radiology Techician zinalipa kwenye mazingira yetu, na malipo yake zaidi ni Rushwa. Watu wengi uhitaji huduma hizo, na hawazipati kirahisi, hivyo kuongeza mianya ya rushwa kwenye maeno zinapotolewa huduma hizo.Hivyo kuwafanya ma Radiology Technicins kupiga pesa nyingi nje ya mishahara yao. Kinachotafutwa ni pesa, career ni ubishoo tu siku hizi.

Akifanikiwa kusoma na akapata kazi, huyo mnaweza msimsikie kabisa., kwa vijipesa vya kuishi hizo course zina lipa sana hospitalini mwacheni akasome, kama hamna njia ya kumsaidia kufanya MD.
Sawa ndugu nimekuelewa tutamuacha kijana akasome
 
Yupo sawa wewe mleta maada na ukoo wenu ndo mnahitaji msaada wa kisaikolojia! Tena chap kwa haraka
 
Namshauri kama familia yenu ina uwezo anaweza kutumia diploma
ya Clinical Medicine kuomba BSc Radiology au Physiotherapy nchi kama Uganda.

Kama hamna uwezo wa kwenda huko asome BSc. Human Nutrition SUA.
Angekuwa na GPA ya 3.5 angeweza kuomba BSc. Clinical Nutrition
and Dietetics UDOM au BSc. Food, Nutrition and Dietetics OUT

Pia anaweza kusoma Bachelor of Health Management Mzumbe
au Health Information System UDOM.

Mimi si mshauri kusoma tena diploma nyingine kwa kuwa
ana hiyo CO aendelee kuomba kazi kila mwaka zikitoka huku
akiwa anasoma degree. Mpaka miaka mitatu ipite atakuwa
amepata ajira na imani.
 
Back
Top Bottom