Anahitajika kijana anayeweza kufanya mauzo Door to door na delivery

Anahitajika kijana anayeweza kufanya mauzo Door to door na delivery

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari zenu.
Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika.

Piga 0713 039 875 (Awe Dar au Kibaha mjini).

Muhimu: sipo JF muda mwingi,tumia simu
 
Yale yalee mnataka kuwabebesha watoto wa watu dawa za miswaki wanaishia kutongozwa na kuchezewa
 
Back
Top Bottom