Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density.

Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami.

Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za mpangaji.

Karibuni wadau.
 
Aanh !baba mwenye nyumba vipi Kodi ikiisha,unapewa muda Gani wa kuendelea kuishi kwenye hiyo nyumba mpaka upate kodi
Ni mambo ya kimkataba, ndio maana nahitaji taasisi kuliko individual.

Hata kama ni individual anaweza kufanya residence lakini tuheshimu mkataba kuvumiliana kupo lakini siyo too much.
 
Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density.

Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami.

Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za mpangaji.

Karibuni wadau.
Nakucheki pm Mimi sio mpangaji Ila narahisisha mambo akipatikana mteja tutajuzana.
 
Back
Top Bottom