Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sijakuelewa fafanuwa, mimi ndio mwenye nyumba.Tupe sifa za mwenye nyumba.....tujue kama Kodi ikiisha tutaishije
Aanh !baba mwenye nyumba vipi Kodi ikiisha,unapewa muda Gani wa kuendelea kuishi kwenye hiyo nyumba mpaka upate kodiSijakuelewa fafanuwa, mimi ndio mwenye nyumba.
Ni mambo ya kimkataba, ndio maana nahitaji taasisi kuliko individual.Aanh !baba mwenye nyumba vipi Kodi ikiisha,unapewa muda Gani wa kuendelea kuishi kwenye hiyo nyumba mpaka upate kodi
Nazijuwa kampuni za matangazo, nawajuwa outdoor na nawajuwa client niliyowatarget wala hawana mambo mengi.Na nyie PHd mnatoaga matangazo kama sie wenye elimu za darasa la saba B
Nakucheki pm Mimi sio mpangaji Ila narahisisha mambo akipatikana mteja tutajuzana.Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density.
Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami.
Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za mpangaji.
Karibuni wadau.
Karibu mkuu, mambo ndio hayo, na commision yako ipo.Nakucheki pm Mimi sio mpangaji Ila narahisisha mambo akipatikana mteja tutajuzana.
Hamna nyumba hapo kaa kimachale bei tu hasemi anataka akuambie njoo pm.Na nyie PHd mnatoaga matangazo kama sie wenye elimu za darasa la saba B
Halafu tukishakutana pm ananitumia pesa na ya kutolea au siyo?Hamna nyumba hapo kaa kimachale bei tu hasemi anataka akuambie njoo pm.
Tushawajua siku hizi. Mtu mwenye biashara lazima afunguke bila kujali nani kamtargetHalafu tukishakutana pm ananitumia pesa na ya kutolea au siyo?
Sawa, subiri niwatapeli wengine wewe unaweza kuendelea na hamsini zako thread haiko moja tu.Tushawajua siku hizi. Mtu mwenye biashara lazima afunguke bila kujali nani kamtarget
π π π πTupe sifa za mwenye nyumba.....tujue kama Kodi ikiisha tutaishije
Utapeli haukubalikiSawa, subiri niwatapeli wengine wewe unaweza kuendelea na hamsini zako thread haiko moja tu.