Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

Nipo mie, nitafanya hata zaidi ya upishi, ashindwe yeye tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko hakuna makato ya PAYE,Income tax etc?

Maana kama hiyo ndiyo basic basi take home kama ni teacher inakuwa pesa mbuzi tu.

Kwa teacher wa cheti grade 3A huo mshahara basic anaupata kuanzia TGTS D1

All the best.
 
Mkuu hujaeleweka, hebu iweke sawa.

Hapo inakatwa NSSF tu.

So mdau mpishi akipata na posho kila mwezi uhakika ni 1.4M Miezi mingine inapanda zaidi.

Nilikuwa na chat na Mpishi anayemaliza muda wake hapo ndio kanipa huo mchongo.

Sasa ulimaanisha mpunga kwa Maticha ni mkubwa zaidi ama??
 
Sawa.

Namaanisha Mwalimu mwenye Basic salary ya 1M anakuwa na take home pesa ya kawaida sana sababu ya wingi wa makato.(Income tax,PAYE,PSSSF,CWT,NHIF etc)
 
Back
Top Bottom