mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
- Thread starter
-
- #301
Nimeandika mtoto/watoto sababu inawezekana mtoto akazaliwa mmoja au mapacha wawiliSio mtoto, ameandika watoto... kuwa makini, ameirudia rudia ktk uandishi... ina maana watoto kuanzia wawili...
.baaasi umemaliza yaani Nawaza kafika Mwaka natakiwa nimpe mtu ,weeee....sitawezaTajiri na mali zake maskini na wanae
So huwezi kukaa single for 2 yrs for 57 million tsh??
Huyo jamaa ako saivi anakuhonga shngap? Inafika 57million?🤑
Sasa mkuu mbona unanyoa nywele na kukata kucha kutupa jalalani, hizo sio DNA zako?Wee hiyo cell moja ni DNA yangu yani it's a piece of me, na nature isivyo na adabu huyo mtoto atatoka copy yangu kabisa
Njoo PM nduguMkuu mim nipo ntayari na nna vigezo karibu except naishi mkoani
IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.
IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.
Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,
MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
Tano gharama zote za hospital kwa mama kipindi cha ujauzito, mama na mtoto baada ya kujifungua zitagharamiwa na baba wa mtoto/watoto
MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.
SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Njoo PM nduguNikitaka na apply wapi[emoji23][emoji23]
Umri, urefu sina ila sio mfupi, bonge nyanya mie., nina familia tayari.Vigezo vipi?
Kama ushaona Breaking bad....Do it for the family.Nina familia. Siwezi kuiharibu kwasababu hiyo
Mapacha mkuu....Sio mtoto, ameandika watoto... kuwa makini, ameirudia rudia ktk uandishi... ina maana watoto kuanzia wawili...
KweliUmri, urefu sina ila sio mfupi, bonge nyanya mie., nina familia tayari.
Kwahiyo unafananisha kucha na mtotoSasa mkuu mbona unanyoa nywele na kukata kucha kutupa jalalani, hizo sio DNA zako?
Haujui hata ukilia au kutema mate unatupa DNA zako?
Its not that big of a deal
Imeandikwa watoto... hivyo tegemea kuzaa watoto wawili na zaidi... nazani imerejelewa ktk uandishi wake mara kadhaaUmenikumbusha tamthilia ya kifilipino, 'her mother's daughter'
Huyo mdada akizaa mapacha inakuwaje?
Ha haa labda nijipe talaka. Uende huko ukazae ukae muda wote huo?Kama ushaona Breaking bad....Do it for the family.
Ni kweli je wakitokea mapacha??Mapacha mkuu....
Amna nafananisha Cell na Cell.Kwahiyo unafananisha kucha na mtoto
Amna nafananisha Cell na Cell.
Kucha ni cell yai ni cell.
Kama ishu ni mtoto, hata ukibeba hilo yai la mtu mwingine ukauza...Si bado ni mtoto?
Kama husband mwelewa anaelewa tu.Ha haa labda nijipe talaka. Uende huko ukazae ukae muda wote huo?
Mie nikafupi halafu fuata ushauri wanguIVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.