Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

Nani anatengeneza au Kufanya research ya hiyo formula?
 
K
Wahiyo unakubali kuwa wanajua ila hakuna vifaa?...
 
Naona unaleta hadithi nyingiii na unatoka kwenye maada...sijasema animal science anasoma pathology in details kama anavyosoma mtu wa VetMed...but Nina uhakika wanajua japo ABC za pathology coz tunao huku field...vivyo hivyo mtu wa VetMed hasomi animal nutrition au feeds processing in details kama anavyosoma mtu wa Animal science...mbona nimeelezea vizur kabisa...au unataka tu tuanzishe ligi isokuwa na sababu...na sijasema pathology ni ndogo...naijua kuwa ni kubwa kama ilivyo animal nutrition....hebu jifunze kuheshimu taaluma za watu na sio kuanza kuwaclassify kwa maslahi Yako...after all huku field hayo unayoyasema Wala HAYANA maana..
Kuna wazee wa animal science au hata agriculture general wapo huku field na wanafanya diagnosis,treatment na control za magonjwa ya wanyama kuliko hata VetMed....
Najua bado upo chuo au ndo umemaliza hivi karibuni lakini unachokijua wewe vet lab technician Kuna wenzio wanakijua pia na inawezekana zaidi yako
 
Boss mbona unatoka nje ya maada?..nani kasema pathology sio Pana...au aliyesema animal science anasoma yote hayo ni nani?... nimekwambia animal science anasoma basic clinical pathology kama ilivyo kwa VetMed au vet lab anavyosoma basic animal nutrition...mbona unacomplicate vitu boss
Sasa hao watu wa animal science,je huwa wanasoma pathology ipi ambayo unaizumgumzia wewe na kumbuka kwamba huwezi kufanya diagnosis ya sample husika kwa ajili ya kupata majibu ya uhakika bila kuhusisha Laboratory tests.
Rafiki mbona unamix maada?... tunazungumzia animal nutrition na feed formulas au tunazungumzia diagnostic pathology?...kila coz inayohusu afya au management ya mnyama lazima wasome standard procedures za maabara kwa professional walizopo..iwe ANS au VetMed...na hii sijasema inaondoa umuhim wa vet lab technician....kama kuna haja ya vetlab kwenye tukio husika wao ndo watasema nn kifanyike....na sio kusema hawajui Kufanya lab analysis ya vitu walivyosoma
Nina uhakika utakuwa umesoma Vet laboratory techology na ndio maana unahisi hii ndo coz yenye kila kitu....ni kawaida kwa graduate wengi....ila KARIBU FIELD BOSS...hata sisi tulihisi hivo hivo kabla ya kuja ground huku..
Umewaclassify vizuri sana na mwisho ukajirudi mwenyewe kuwa kibongo bongo ni jambo lisilofuatwa...naomba tu nikwambie sio kibongo bongo tu...ni dunia nzima...mtu wa biotechnology unaweza kumpiga coz fupi tu na akawa vizuri kwenye vet.lab technology...mtu wa Medical laboratory unaweza kumswitch akawa vet lab technician...and vice versa is true...miaka ya nyuma watu wa biotechnology kutoka pale SUA walikuwa wanaajiliwa mahospitalin kama medical laboratory technician baada ya kupigwa coz fupi tu..standard za maabara nyingi ni zile zile... believe me....Mimi ni mmoja wao
 
Sasa hapa mkuu, ndo umeongea point kubwa yani umemaliza kila kitu kwenye huu mjadala uliokuwa unaendelea,unachokisema kuhusu watu kuswitch kutoka field moja kwenda nyingine ni kweli ,hata Mimi Kuna mtu ninamfahamu ambaye Kwa sasa yupo department ya physiology kwenye college ya veterinary medicine and biomedical science,katika chuo cha Sua.

Yeye alitoka Sua na kwenda kufanya kazi muhimbili Kisha baada ya miaka kadhaa alirudi tena sua na hata sasa yupo bado sua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…