Acha kuassume mkuu ,Sasa niweke self interest Ili iweje,halafu kikawaida pathology inahusisha diagnosis,treatment and control of specific disease
Na vile vile pathology ni kubwa maana Kuna: 1.general pathology 2.systemic pathology 3.histopathology 4.gross pathology 5.clinical pathology ambayo huwa ina matawi yake kama cytopathology,hematology,copology/scatology,enzymology na biopsy.
Sasa hao watu wa animal science,je huwa wanasoma pathology ipi ambayo unaizumgumzia wewe na kumbuka kwamba huwezi kufanya diagnosis ya sample husika kwa ajili ya kupata majibu ya uhakika bila kuhusisha Laboratory tests.
Watu wa Veterinary laboratory technology na wa biotechnology pamoja na wa laboratory technology hawana mwingiliano wowote Kila mtu na specialization yake japokuwa mtu wa veterinary laboratory huwa anavitu vya ziada
Nitawaclassify kulingana na aina za maabara ambazo ni 1.diagnostic laboratory 2.industrial laboratory 3.research laboratory
So watu wa biotechnology kwao ni kwenye research laboratory, halafu watu wa Veterinary laboratory technology kwao ni kwenye diagnostic laboratory na vile vile watu wa laboratory technology kwao ni kwenye industrial laboratory.
Japokuwa kibongobongo jambo hilo huwa halifuatwi ndo maana Kuna mwingiliano sana ambao hufanya watu waonekane wapo sawa kimajukumu,wakati hawapo sawa kimajukumu.