Anahitajika mtu mwenye cv ya hivi

Anahitajika mtu mwenye cv ya hivi

KINGA

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Ndg zang naomba mnisaidie ktk sehemu ya referees kwenye cv,eti hairuhusiwi kumuandika ndugu mwnye jina moja kma referee wko?na ni watu gani wanafaa kuw mareferee?mfano walimu wako,marafiki,mabosi nk.na je m2 ukimuandka kma referee lazima awe na taarifa.ahsanten.
 
Mkuu unachotaka ni jib ndiyo au Hapana au maelezo? Ndiyo ... Reference should biodata you!
 
Kwenda zako siwezi kukushauri mtu mwongo, umetudanganya kwenye kichwa cha thread kana kwamba unataka kuelimishwa kumbe unatafuta msaada, hata kazi hutopata coz umeonyesha tabia za kitapeli.
 
sometimes to somepeople in someways....................................byeeeeeeee
 
Chizi wewe hata cv yako kutakuwa na uwongo mwingi na utatafuta kazi hadi mvi ziote ktk nyayo zako
 
kwani wewe hapo uliposoma haujakutana na communication skills or...ndo kusema umetaabika kitaa hadi umesahau yote???? anyways ni hivi unashauriwa kabla haujamuweka referee wako unapaswa kumpa taaarifa juu ya maombi yako...coz kuna watu wengine akipigiwa cm au kutumiwa barua hawezi kuwa na umakini wa kuifatilia a u kutoa majibu ya moja kwa moja kwa wale wanaotaka kukufaham...kaka nadhan hapo utakuwa umepata jibu tosha sana..
 
Ndg zang naomba mnisaidie ktk sehemu ya referees kwenye cv,eti hairuhusiwi kumuandika ndugu mwnye jina moja kma referee wko?na ni watu gani wanafaa kuw mareferee?mfano walimu wako,marafiki,mabosi nk.na je m2 ukimuandka kma referee lazima awe na taarifa.ahsanten.

Referee kwenye CV yako ni mtu anayefahamu uwezo wako professionally. Huwezi kumuweka ndugu yako mana kutakuwa na conflict of interest.
Yes, ukimuandika mtu ni referee wako lazima ajue in advance..huandiki tu
 
:lol: hujaeleweka thats why wa2 wanakuponda, kuwa serious na unachokifanya hata kama ni kidogo vipi utafanikiwa, si unaona sasa umekosa msada wa wa2 wengi.
 
Nani atataka kuwa referee wako wakati unaonekana ni msanii wewe
 
Ndg zang naomba mnisaidie ktk sehemu ya referees kwenye cv,eti hairuhusiwi kumuandika ndugu mwnye jina moja kma referee wko?na ni watu gani wanafaa kuw mareferee?mfano walimu wako,marafiki,mabosi nk.na je m2 ukimuandka kma referee lazima awe na taarifa.ahsanten.

Huyu ni mfano wa graduates wanaolalamika hawapati ajira, kama hujui hata namna ya kuandika CV (sample zimejaa kibao mtandaoni na notes bwelele) wewe kweli utaweza kujieleza kwenye interview?
 
Ku@@ke yaani hata hapa hujui kuwa heading must relate to the contect. We ni kilaza balaa. Au tapeli badilika bwana sikuhizi hatutanii ukiwa mzembe utapata wajukuu unatafuta kazi
 
Huna maana wewe, unafikir hapa n facebook,
huo uwongo wako, utatafuta kazi mpaka utazeeka!
 
tittle yako ni tofauti na mada yenyewe
Mpaka kufikia kukomenti hivi, utakuwa ushajuwa title inataka nini na mada inataka nini... BAsi katika harakati za kuonyesha uungwana at least ungeijibu title kivyake na mada kivyake...
 
Kwenda zako siwezi kukushauri mtu mwongo, umetudanganya kwenye kichwa cha thread kana kwamba unataka kuelimishwa kumbe unatafuta msaada, hata kazi hutopata coz umeonyesha tabia za kitapeli.
Kweli huyo jamaa chiz au elimu yake ya kubabaisha kwani ishu ya majina si inajulikana toka shule za msingi,kama unataka kutumia jina moja si ukacheze mpira tena utokee Brazil ndo ukitaja gaucho,pele,robhino nk wanajulikana ila kama ni ishu yakazi mzee acha ubabaishaji na kupoteza mida ya watu!
 
Back
Top Bottom