Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
971
Reaction score
1,165
Habari wapendwa,

Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili.

Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
 
Kaka nina binamu yangu choka mbaya/alosto yupo hapo Gongo la Mboto. Kazi yoyote anafanya. Naomba namba yako ya simu.
 
Nimeumia maskini kwa huyo mtoto...yaan ningekuwa dar ningekusaidia hadi atoke for free...polen sana
 
Weka namba kwenye PM tumsaidie mdogo wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…