Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

Bwana salum palahingwe nipo hapa karibu kabisa kwaajili ya kumsaidia kijana wetu nakusubiri hata sasahivi nafika Muhimbili bila tatizo.
 
Mkuu fafanua zaidi, hiyo 10000 inahusu chakula na mahitaji mengine au la?
 
Habari wapendwa,

Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili.

Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
Mkuu ni pm basi tuone tunamsaidiaje kijana huyo
 
Back
Top Bottom