90sgeneration
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 421
- 502
Happy Sunday
Binti wa sales and marketing (msichana) anahitajika kwenye kampuni.
Hakuna vigezo vingi
-awe anajua vizuri kutumia social media (instagram, facebook, x (twitter), ticktock nk.
-Awe anajua vizuri kufanya sales na on time in social media.
location : Darces salaam
Salary kwa kianzia 250k per month, lakini ukionekana unafanya unapandishwa.