Digital base
Senior Member
- Jul 19, 2020
- 140
- 217
Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele.
Kazi hii ina inafanyika mtandaoni.
MAJUKUMU
1.Kuwasiliana na wagonjwa wanaovutiwa na programu zetu za matibabu.
2.Kupiga angalau simu 25 kila siku.
Kufanya ufuatiliaji kila siku kwa watu walioonyesha nia ya kutumia huduma zetu za matibabu
Kupost status za WhatsApp kuhusu programu na bidhaa za zetu za Afya kila siku ikiwa ni pamoja na Broadcast
Kusambaza maudhui ya ya Audio za masomo ya Afya katika groups zote na kufanya ufuatiliaji kwa wateja wapya wanaovutiwa na Program zetu ili kufikia malengo ya mauzo.
SIFA ZA MUOMBAJI
1.Ufasaha wa kuzungumza na kuandika kwa Kiswahili na Kiingereza.
2.Uwezo wa kuwasiliana kwa simu kwa ujasiri.
3.Mtu mwenye malengo makubwa na hamu ya mafanikio katika mauzo.
4.Uzoefu katika mauzo mtandaoni
MALIPO NA FAIDA
Miezi 3 ya mwanzo utalipwa Tsh.300,000 kila mwezi na Kamisheni Bonus 5% ya mauzo yako au 10% ukifikisha Target
Tunahitaji mtu mwenye malengo ya muda mrefu na ikiwa unatafuta kazi ya muda mfupi basi usitume maombi.
JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Tuma maombi kwa email [email protected]
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI:
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2026