Anaishi mbagara anashinda Tegeta anakunywa kahawa, hatujui kazi yake , Hana simu

Sasa Jojiii si ungeniuliza tuu kuliko kuja kunianika humu!!😥😥😥
 
Mbagara ndo wapi ? cc Dr am 4 real PhD
🤓 Ipo kusini mwa dasalama na kusini magharibi mwa kigamboni 😊

Umenikumbusha rafiki yangu mmoja TUKA M CROWN 👑 MTETEZI WA MBAGALA YAAN UKIISEMA VIBAYA MBAGALA ANAKUSHUKIA KAMA TAI.

TUKA MPA JINA LA MSEMAJI WA MBAGALA " UKIIZUNGUMZA VIBAYA MBAGALA" jamaa ndio utamjua kua yeye ndio MSEMAJI WA MBAGALA 😁
 
Hahaha akaribie Kigamboni
 
Back
Top Bottom