Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Mechi bado nyingi fuzu fa tukutane A town. Mayele ni mtu hatari Nchi nzima ilikuwa inasubiri Gori lake tu. Watu hawajui kama Kuna mgalu au Bocco [emoji3]
Sasa hapa tupo tunamsifia mtu aliyeweza kumuweka mfukoni huyo unayemuita mtu hatari na kumfanya ashindwe kupiga hata shuti moja on target achilia mbali kufunga
 
Mmeonjeshwa kidogo tu kule kimataifa inavyokuwaga hawatetemagi ovyo ovyo naukilemaa kidogo tu unakalia nje ndani
 
Mimi nadhani watu wanasema sana kuhusu Mayele kwakua ndio mchezaji pekee aliyeweka hadharani kuwa ana deni la kuifunga Simba
Kwahiyo leo ameonyeshwa tu kidogo namna alivyo wa kawaida na wala hakupaswa kuwekea ahadi derby maana ingekuwa dharau kama angetimiza ahadi yake na huku tulishamsikia akijitapa mapema tu
 
Hata kabla ya mechi kuanza,alienda Kwa mashabiki akawaambia washangilie na Kisha akijipigapiga kifua na kunyoosha vidole viwili chini kama ishara ya Leo lazima afunge!
 
Mutu ya kazi ulisa piston manywele
 
Mmeonjeshwa kidogo tu kule kimataifa inavyokuwaga hawatetemagi ovyo ovyo naukilemaa kidogo tu unakalia nje ndani
Kama unafikiria hivyo, je umefikiria kuwa huyo Sako aliyekuwa mnamuimba kimataifa kuwa anazungumziwa hadi ufaransa lakini kashindwa kuwika nyumbani mbele ya Yanga? Msiwe na akili za kishabiki kiasi hicho
 
Aliyemuimba nani? Huko kimataifa wamemuimba wao sio sisi
 
Wewe mwenyewe unajiunga sakhosi kibao tena na mke wako hebu toa salute kwa uyo mwanao sakho
 
Alivyozuiwa mayele ndivyo hivyo hivyo walivyowekwa mfukoni wachezaji 4 wa simba na kibwana shomari, Chama, Morrison, kibu denis, na sakho wamekuwa mlenda mbele ya bwana mdogo na hapo tusemeje sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…