Mtapenda
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 1,115
- 2,063
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hofu. Nyie ndo mnamtukuzaHii inaonyesha wazi hofu yenu kubwa simba ni kwa Fiston Mayele
Na leo mtafanya sherehe kwa kutoka salama maana mlivyofurahi...
Sasa hapa tupo tunamsifia mtu aliyeweza kumuweka mfukoni huyo unayemuita mtu hatari na kumfanya ashindwe kupiga hata shuti moja on target achilia mbali kufungaMechi bado nyingi fuzu fa tukutane A town. Mayele ni mtu hatari Nchi nzima ilikuwa inasubiri Gori lake tu. Watu hawajui kama Kuna mgalu au Bocco [emoji3]
Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga
Vipi kuhusu sakho, Morrison na kibu kwa jeshi la mtu mmoja KIBWANA SHOMARI!!.Sasa hapa tupo tunamsifia mtu aliyeweza kumuweka mfukoni huyo unayemuita mtu hatari na kumfanya ashindwe kupiga hata shuti moja on target achilia mbali kufunga
Hata kabla ya mechi kuanza,alienda Kwa mashabiki akawaambia washangilie na Kisha akijipigapiga kifua na kunyoosha vidole viwili chini kama ishara ya Leo lazima afunge!Mimi nadhani watu wanasema sana kuhusu Mayele kwakua ndio mchezaji pekee aliyeweka hadharani kuwa ana deni la kuifunga Simba
Kwahiyo leo ameonyeshwa tu kidogo namna alivyo wa kawaida na wala hakupaswa kuwekea ahadi derby maana ingekuwa dharau kama angetimiza ahadi yake na huku tulishamsikia akijitapa mapema tu
Ambaye sio overrated yuko wapi hapa?Mayele ni overrated.
anzishia thread yake tutachangia hukoTunamwomba na aliyewazuia Mugalu, Sakho, Morrison na Chama kiasi kwamba hamna aliyelenga goli.
Kama unafikiria hivyo, je umefikiria kuwa huyo Sako aliyekuwa mnamuimba kimataifa kuwa anazungumziwa hadi ufaransa lakini kashindwa kuwika nyumbani mbele ya Yanga? Msiwe na akili za kishabiki kiasi hichoMmeonjeshwa kidogo tu kule kimataifa inavyokuwaga hawatetemagi ovyo ovyo naukilemaa kidogo tu unakalia nje ndani
ball possession ngapi kwa ngapiFT. NO SHOT ON TARGET[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama unafikiria hivyo, je umefikiria kuwa huyo Sako aliyekuwa mnamuimba kimataifa kuwa anazungumziwa hadi ufaransa lakini kashindwa kuwika nyumbani mbele ya Yanga? Msiwe na akili za kishabiki kiasi hicho
Leo naona mmeamua kuingia maktaba,[emoji3][emoji3][emoji3] hiv lile bas mlilopaki taifa ni yutong au scania.Ambaye sio overrated yuko wapi hapa?View attachment 2206542
Wewe mwenyewe unajiunga sakhosi kibao tena na mke wako hebu toa salute kwa uyo mwanao sakhoNdio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga
Alivyozuiwa mayele ndivyo hivyo hivyo walivyowekwa mfukoni wachezaji 4 wa simba na kibwana shomari, Chama, Morrison, kibu denis, na sakho wamekuwa mlenda mbele ya bwana mdogo na hapo tusemeje sijui