Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Balaa huyu jamaa
IMG_20220425_013222_511.jpg

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Mechi bado nyingi fuzu fa tukutane A town. Mayele ni mtu hatari Nchi nzima ilikuwa inasubiri Gori lake tu. Watu hawajui kama Kuna mgalu au Bocco [emoji3]
Sasa hapa tupo tunamsifia mtu aliyeweza kumuweka mfukoni huyo unayemuita mtu hatari na kumfanya ashindwe kupiga hata shuti moja on target achilia mbali kufunga
 
Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga

Mmeonjeshwa kidogo tu kule kimataifa inavyokuwaga hawatetemagi ovyo ovyo naukilemaa kidogo tu unakalia nje ndani
 
Mimi nadhani watu wanasema sana kuhusu Mayele kwakua ndio mchezaji pekee aliyeweka hadharani kuwa ana deni la kuifunga Simba
Kwahiyo leo ameonyeshwa tu kidogo namna alivyo wa kawaida na wala hakupaswa kuwekea ahadi derby maana ingekuwa dharau kama angetimiza ahadi yake na huku tulishamsikia akijitapa mapema tu
 
Hata kabla ya mechi kuanza,alienda Kwa mashabiki akawaambia washangilie na Kisha akijipigapiga kifua na kunyoosha vidole viwili chini kama ishara ya Leo lazima afunge!
 
Mutu ya kazi ulisa piston manywele
 
Mmeonjeshwa kidogo tu kule kimataifa inavyokuwaga hawatetemagi ovyo ovyo naukilemaa kidogo tu unakalia nje ndani
Kama unafikiria hivyo, je umefikiria kuwa huyo Sako aliyekuwa mnamuimba kimataifa kuwa anazungumziwa hadi ufaransa lakini kashindwa kuwika nyumbani mbele ya Yanga? Msiwe na akili za kishabiki kiasi hicho
 
Aliyemuimba nani? Huko kimataifa wamemuimba wao sio sisi
 
Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga
Wewe mwenyewe unajiunga sakhosi kibao tena na mke wako hebu toa salute kwa uyo mwanao sakho
 
Back
Top Bottom