Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Kajabila

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
539
Reaction score
942
Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU).

Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian alihitimu mafunzo yake ya Kijeshi katika Chuo cha Royal Military Academy, Sandhurst, nchini Uingereza, moja ya vyuo mashuhuri vya kijeshi Duniani.

FB_IMG_1673942847489.jpg
FB_IMG_1673942852405.jpg
FB_IMG_1673942839702.jpg
FB_IMG_1673942843884.jpg
FB_IMG_1673942834059.jpg
 
Hajiamini mzee hadi anataka alindwe na mtoto wake au anaenda kumlinda nani?
Mkuu Africa hii ni bara la ajabu mno, mtoto huyu ameshazogezwa kwenye pie ya taifa, aliosoma nao primary wanasota, kama haupo kwenye mzunguko inabidi ufanye kazi ya ziada kupata mkate wa asubuhi, naona president kagame yupo comfortable kulindwa na mwanae!!
 
Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU).

Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian alihitimu mafunzo yake ya Kijeshi katika Chuo cha Royal Military Academy, Sandhurst, nchini Uingereza, moja ya vyuo mashuhuri vya kijeshi Duniani.View attachment 2484407View attachment 2484408View attachment 2484410View attachment 2484411View attachment 2484412
Baba yake hajiamini
 
Back
Top Bottom