Haya mambo Nyerere alitumia busara sana akayaepuka akaona isiwe kesi, hawatakosa chakula cha kila siku ila hapana. Tunaweza kumuona alikuwa mjinga au mbinafsi ila watoto waliokulia mazingira ya uhakika sana ni nadra sana kuja kuwa na akili, maarifa na busara za kiuongozi. Huyu dogo kama atarithishwa madaraka atasumbuka sana kutawala hata kama amepata top level education. Kuna wabaya wako ndiyo wanapata nguvu mpya ya kupambana wakijua wanadeal na damu yako.
Hii ni gift na curse ya mafanikio ya kisiasa.