Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Anaitwa Ian Kagame (Luteni Usu)

Mtoto wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kwa sasa rasmi amejiunga na kikosi cha Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo (PSU).

Hivi karibuni (mwishoni mwa Mwaka 2022) Ian alihitimu mafunzo yake ya Kijeshi katika Chuo cha Royal Military Academy, Sandhurst, nchini Uingereza, moja ya vyuo mashuhuri vya kijeshi Duniani.

View attachment 2484407View attachment 2484408View attachment 2484410View attachment 2484411View attachment 2484412
Jambo jema..

Moronight walker
 
Hii ni comment ya muafrika halisi, angesema amesoma na Kingwendu wala maswali yasinge kuwepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu sijui kwann nilisema vile dah nimejishtukia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu sijui kwann nilisema vile dah nimejishtukia
Mimi hata sikulaumu ni kamzimu ka kiafrika tuu kalivamia akili yako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu sijui kwann nilisema vile dah nimejishtukia
Kwa kifupi una roho ya kutu.
Huku kuna majeneral, kuna majaji, kuna mawaziri hivyo mtu kusema amesoma naye hakuna ajabu.
Najua umetolea mfano wa Vikindu ukijua kuwa hilo asemalo haliwezekani.
Acha ukuda dogo
 
Dgo unako elekea unataka kuniudhi ntakuzibua ushangae unafikiri Mimi ms*ng* kama ww nakuangalia tu
 
IAN anaandaliwa kua head wa PSU kama ilivokua kwa muhoozi kule uganda na baadae atakua promoted to meja general halafu full general hana miaka minne ya kua general kamili hapo yuko field kutengeneza historia tu katika jeshi maana kuingia PSU hua ni hatua kubwa ya kimajukumu jeshini
Hatakuwa General maana Baba yake atakuwa RIP
 
Back
Top Bottom